PAKAYA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 362 Reaction score 169 Mar 26, 2014 #3 mwee labda wale wa bongo sinema kila mtu anakwambia kwao mambo safi upande wa pili wa shs utamuonea huruma
mwee labda wale wa bongo sinema kila mtu anakwambia kwao mambo safi upande wa pili wa shs utamuonea huruma
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,802 Reaction score 49,110 Mar 26, 2014 #4 mimi sijapita hapo
maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,345 Reaction score 15,852 Mar 26, 2014 Thread starter #5 miss chagga said: mimi sijapita hapo Click to expand... Siamini...weka picha..
VOICE OF MTWARA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 3,140 Reaction score 2,269 Mar 26, 2014 #6 bonge la puto puani
roma mnazarety Member Joined Dec 5, 2013 Posts 94 Reaction score 15 Mar 26, 2014 #7 Ngoja nimuulize mama
dist111 JF-Expert Member Joined Nov 29, 2012 Posts 3,973 Reaction score 3,590 Mar 26, 2014 #8 Utoto raha sana! Yaani hana habari kbs, na mama asipomuweka sawa yy ndio anaonekana kimeo! Ila uswazi yaani kawaida saaaaana tu
Utoto raha sana! Yaani hana habari kbs, na mama asipomuweka sawa yy ndio anaonekana kimeo! Ila uswazi yaani kawaida saaaaana tu
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Mar 26, 2014 #9 dist111 said: Utoto raha sana! Yaani hana habari kbs, na mama asipomuweka sawa yy ndio anaonekana kimeo! Ila uswazi yaani kawaida saaaaana tu Click to expand... Sema ukweli kutoka moyoni mwako Wewe utotoni hujawahi kulamba puto likiwa kama hivyo?
dist111 said: Utoto raha sana! Yaani hana habari kbs, na mama asipomuweka sawa yy ndio anaonekana kimeo! Ila uswazi yaani kawaida saaaaana tu Click to expand... Sema ukweli kutoka moyoni mwako Wewe utotoni hujawahi kulamba puto likiwa kama hivyo?
ICHANA JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 4,765 Reaction score 3,598 Mar 26, 2014 #10 Ha ha ha ha lamba halafu hilo ni laiiin linashuka lenyewe
Ennie JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 7,137 Reaction score 4,139 Mar 26, 2014 #11 Na mama alitusafisha bila kinyaa. Hakuna kama mama!!!
maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,345 Reaction score 15,852 Mar 26, 2014 Thread starter #12 ICHANA said: Ha ha ha ha lamba halafu hilo ni laiiin linashuka lenyewe Click to expand... Mkuu inaonekana ulikua mbaya wa kuligida hilo dude
ICHANA said: Ha ha ha ha lamba halafu hilo ni laiiin linashuka lenyewe Click to expand... Mkuu inaonekana ulikua mbaya wa kuligida hilo dude
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Mar 26, 2014 #13 roma mnazarety said: Ngoja nimuulize mama Click to expand... Wangu hayupo na sikujuwa kama iko siku nitaulizwa swali kama hili ningemuuliza alipokuwepo!
roma mnazarety said: Ngoja nimuulize mama Click to expand... Wangu hayupo na sikujuwa kama iko siku nitaulizwa swali kama hili ningemuuliza alipokuwepo!
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,802 Reaction score 49,110 Mar 27, 2014 #14 Patrickn said: Siamini...weka picha.. Click to expand... sitaki