Nani Bingwa wa kula Ugali kati ya Hawa?

holy holm

JF-Expert Member
May 6, 2017
4,792
9,079
Kuna mashindano ya kula Ugali yalitokea na kuhusisha washindani watatu.
1.huyu mshiriki kwa mbwembwe zote alikula ugali na chumvi pakti ya kilo moja
2.huyu yeye alikula ugali na maji ya kunawa.
3.huyu jamaa alikula ugali mkubwa na mboga ikawa ugali mdogo
nani bingwa kati yao??
 
Dunia haijawah pata mtu muongo kama wewe...teh teh
 
Back
Top Bottom