Nani bingwa wa kukaa Ukweni?

Nani bingwa wa kukaa Ukweni?

Hah hah hah Mkuu umenifanya nimkumbuke baba Mkwe wangu.

Huwa tukienda na wife kwao kuna chumba maalumu kwa ajili yetu maana yeye kila mtoto amemjengea chumba chake.

Basi tunakaa huko hata wiki wakati huo jioni huwa tunakwenda zetu kupiga Balimi mbili tatu na baba mkwe tunarudi zetu home huku tukipiga stories za maisha ya enzi zao na zetu basi ni burudani.

Kifupi wakwe kwangu ni watani zangu na wazazi wangu pia.
Shida zetu zao Zao zetu.


ILA KUJENGA KARIBU NAO SIWEZI THUBUTU.
 
Hii mada cjui niiweke upande gani maana kuna jamaa alikaa ukweni miaka sita ila cku ya kusepa mama mkwe hadi alilia maana jamaa alikua anasolv mambo yote kuanzia misosi.nyumba ilikua haina umeme jamaa akafanya mipango akaweka umeme.hivyo vihela vya school kwa madogo ndio usiseme (sometimes ni maamuzi tu) ila pia ma mkwe wake alikua ni mjane
 
Sasa kuna huyu wakwetu amemuoa sisteri........................ yaani kuna house empty pale home ilikuwa ya babu na bibi wanaishi kabla hawajafa...... jamaa amemchukua tu wamepanga mara dogo analalamika kodi jamaa hawezi mara sijui nini......... ikabidi waambiwe warudi home kuna nyumba empty.

likarudi bila woga aisee, wamekaa pale huu mwaka wa tano na kiwanja sisteri ikabidi apewe na kujenga wameanza. Likishindaga nyumbani nasikia maza analituma hadi chumvi dukani kama hakuna watoto wadogo.... duh

yaani jamaa hana mshipa wa aibu, huwa nikimwangaliaga nawaza kichwani kwake ubongo utakuwa umesukwaje aise.... maana itakuwa huyo fundi wiring kuna jinsi alipishanisha waya zake.

mimi mwenyewe ukweni labda msiba na nikienda nakaa nyuma kabisa. yaani sipo huru hata kukohoa nikiwa ukweni.


Haaaaaaa! kuna vituko jf eti fundi umeme kuna waya alizipishanisha.
 
Wakuu habari za muda,..naomba tuchangie hapa kuhusu suala la sisi wanaume kukaa ukweni ...


Mie binafsi naona hata ile kukaa siku nzima na kulala siwezi kabisa kwanza naanzaje ?

mana raha unapotea ukweni mpaka wanakumisi yani,..

sio unakaa mpaka stori zinaisha bhana mnabaki kuangaliana tu mwisho unashinda chumbani na mkeo ..

unaenda then mda mfupi unawaaga mpaka wanashangaa ..

labda kwa baadhi yatamaduni kama zetu sie mke anaenda kujifungulia kwao sasa hapo unaweza kujikaza kuenda kulala siku moja moja tu ..


vipi wadau kwa upande wenu suala lla kukaa ukweni mnalichukuliaje??
Umeoa jirani tatizo. Pata picha ungeoa Moshi na kwenu Mtwara then unaishi Dar na huko Moshi huna ndugu zaidi ya wakwe.

Ukienda kusalimia utafikia hotel?? Utalala siku moja??

Muache utoto?? Wakwe ni wazazi kuchukua likizo na kwenda ukweni ni kitu cha kawaida. Cha msingi jiandae kwa mahitaji muhimu sio utegemee wakwe. Mfano hukubena ndala halafu uvae za mkwe hapo unaanza kuharibu.

Ukweni jipange kifedha na bidhaa
 
Hah hah hah Mkuu umenifanya nimkumbuke baba Mkwe wangu.

Huwa tukienda na wife kwao kuna chumba maalumu kwa ajili yetu maana yeye kila mtoto amemjengea chumba chake.

Basi tunakaa huko hata wiki wakati huo jioni huwa tunakwenda zetu kupiga Balimi mbili tatu na baba mkwe tunarudi zetu home huku tukipiga stories za maisha ya enzi zao na zetu basi ni burudani.

Kifupi wakwe kwangu ni watani zangu na wazazi wangu pia.
Shida zetu zao Zao zetu.


ILA KUJENGA KARIBU NAO SIWEZI THUBUTU.
Nami nimebahatika kama wewe. Wakwe zangu maswahiba sana
 
Umeoa jirani tatizo. Pata picha ungeoa Moshi na kwenu Mtwara then unaishi Dar na huko Moshi huna ndugu zaidi ya wakwe.

Ukienda kusalimia utafikia hotel?? Utalala siku moja??

Muache utoto?? Wakwe ni wazazi kuchukua likizo na kwenda ukweni ni kitu cha kawaida. Cha msingi jiandae kwa mahitaji muhimu sio utegemee wakwe. Mfano hukubena ndala halafu uvae za mkwe hapo unaanza kuharibu.

Ukweni jipange kifedha na bidhaa
SAFI SANA MKUU???
HAPO KWELI ??
nimepata kujifunza kwamba some time ni utoto tu kaka ???
 
1. Mimi hata nyumbanikwetu nilishaaga zamani sana.
2. Licha ya hilo, nimejielimisha anthropology na sociology kujua kwamba watu tofauti wanaishi maisha tofauti kwa sababu tofauti na sitaki kuwahukumu kiujumla bila kutilia maanani tofauti.
 
mnazungumzia kulala? Wengine hata kuongea na wakwe kwenye simu inaweza kupita hadi miezi sita au tisa kabisa ili kuwapa taarifa ya binti yao kujifungua mtoto..
 
Umeoa jirani tatizo. Pata picha ungeoa Moshi na kwenu Mtwara then unaishi Dar na huko Moshi huna ndugu zaidi ya wakwe.

Ukienda kusalimia utafikia hotel?? Utalala siku moja??

Muache utoto?? Wakwe ni wazazi kuchukua likizo na kwenda ukweni ni kitu cha kawaida. Cha msingi jiandae kwa mahitaji muhimu sio utegemee wakwe. Mfano hukubena ndala halafu uvae za mkwe hapo unaanza kuharibu.

Ukweni jipange kifedha na bidhaa
Shkran sana kwa maelezo yko mkuu .
 
Kuna rafiki taangu aowe huu ni mwaka wa 8 ukijumlisha siku ambazo hajaenda kwa Mama mkwe, na babamkwe labda siku akiumwa tumbo, hadi mbaka marafiki zake wamechoka kumpa ushauri,,ameoa maeneo ya ngarenaro karibu na soko mjinga mkono wa kuria km unaenda kisongo kuna kaoshi hapo, yaani inakera saana,
 
mnazungumzia kulala? Wengine hata kuongea na wakwe kwenye simu inaweza kupita hadi miezi sita au tisa kabisa ili kuwapa taarifa ya binti yao kujifungua mtoto..
😀😀😀😀😀
 
sasa kama binti yao nalala nao kila siku kwa hvyo na hao wazee nilale nao??

we huoni kinyume nyume?

We huna mshipa wa aibu tu mkuu kuna mambo kimaumbile hauwi relax labda uwe na mapungufu iwe ya kimsili au kimazingira..
sio kwamba sina aibu au labda niko relaxed ila hao ni wazazi na wanahitaji uwepo wenu pia
 
Wakuu habari za muda,..naomba tuchangie hapa kuhusu suala la sisi wanaume kukaa ukweni ...


Mie binafsi naona hata ile kukaa siku nzima na kulala siwezi kabisa kwanza naanzaje ?

mana raha unapotea ukweni mpaka wanakumisi yani,..

sio unakaa mpaka stori zinaisha bhana mnabaki kuangaliana tu mwisho unashinda chumbani na mkeo ..

unaenda then mda mfupi unawaaga mpaka wanashangaa ..

labda kwa baadhi yatamaduni kama zetu sie mke anaenda kujifungulia kwao sasa hapo unaweza kujikaza kuenda kulala siku moja moja tu ..


vipi wadau kwa upande wenu suala lla kukaa ukweni mnalichukuliaje??
Kwa sisi kina kanjibai mbona jambo la kawaida sana tena unapafanya kama kwako na unaaamrisha unavyotaka ukiweza hata ukoo mzima unaaamia ukweni NASHAAANGAA KWA NYIE WATANZANIA MNAOGOPA NN HASA ukweni raha kweli
 
mkuu shemeji yako yupo humu humu jf alitoaga uzi wa kulalamika kuhusu kukaa ukweni na shemeji zake kumbe mmoja wao wewe?

dah basi na shemej yako analalama kishenzi ila tatizo ni mdogo wenu
Nami nakumbuka story amewahi sema
 
Maisha sometimes yanasababisha haya.
Usiombe maisha yakakuendea mrama unaweza ukafanya vitu mpaka unajiuliza huo ujasiri umeutoa wapi.
Kuna mmoja namjua kahamia ukweni mana maisha yamekuwa magumu na mkewe kaongea na wazazi wakamwambia kwanini ateseke aje tu nyumbani akae.
Kapatiwa sehemu ya kukaa mwenyew anaona afadhali kuna unafuu wa maisha.
Majanga katika maisha yanatokea lakini kama mwanaume lazima utafute namna ya kujinasua.ni mara mia wakupe hela ya kodi ya mwaka au miezi sita uendelee kupambana lakini sio uhamie kwao.
 
Kwa sisi kina kanjibai mbona jambo la kawaida sana tena unapafanya kama kwako na unaaamrisha unavyotaka ukiweza hata ukoo mzima unaaamia ukweni NASHAAANGAA KWA NYIE WATANZANIA MNAOGOPA NN HASA ukweni raha kweli
Nyie akina kanjibai hata posa anatoa mwanamke kwa hyo kukaa ukweni sio ishu.Unajua watu wana mila tafauti.unachoona chaajabu kwako kwenye tamaduni nyengine ni kawaida.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom