Nani awaokowe Watanzania

Ukweli nasikia sauti ya kilio ktk kila kona ya Nchi. Swali langu ninani yuko tayari kuyatowa maisha yake kwaajili ya taifa?

Hakuna,Labda Tundu Lissu.Tuliowategemea wametekwa na Chuki,Visasi,Ubaguzi wa kiitikadi.Hawafuati sheria wala taratibu tulizojiwekea.

As long as ni Mpinzani basi kwao ni ADUI.

Tuanze na wewe jirekebishe,wapinzani siyo maadui,ni watanzania wenzetu wanastahili heshima,upendo na haki kama raia mweingine aliye mwanaccm

Acheni kutubagua kwa itikadi.Mpaka sasa Tundu Lissu tu ndiye anayeweza kutusaidia maana anapigania haki na heshima ya mtanzania ili watawala mfuate sheria na taratibu (Katiba mliyoapa kuilinda basi ilindeni na muiheshimu.Mnapoheshimiwa heshimuni watanzania pia.
 
Kwa uandishi huu hata tz ya viwanda ni ndoto, hakuna cha dodoma wala nini.
 
Naamini mtu mwenye mapenzi na nchi hii lazima awe mkweli, rais JPM alisema katika serikali yake mtu akituhumiwa atawekwa kando ili kupisha uchunguzi, mimi sitaki Makonda awekwe pembeni kwa hizi tuhuma ambazo huenda ni za kisiasa na kuchafuana, ila namuomba ajitokeze hadharani kukanusha mambo haya anayotuhimwa nayo. Kuanzia ukarabati wa ofisi, ushiriki wake na GSM, kuhusu vyeti na utajiri wa muda mfupi anaodaiwa kua nao. Makonda is still young and can become a good leader in the future, but if he truly loves Tanzania I would wish him to tell us openly and clear the accusations in a manner that will leave no ston untouched
 
Tukiwa serious tutapata mtu, na mtu atakigopa kiti hivyo atakuwa makini
Angalia Rwanda wapo wapi sasa
hapa uswahiba, undugu, ukabila na ugirlfriend ndio kipaumbele

Umesahahu ukiwa na CHUKI kwa wapinzani pia unapewa shavu
 
Ukweli nasikia sauti ya kilio ktk kila kona ya Nchi. Swali langu ninani yuko tayari kuyatowa maisha yake kwaajili ya taifa?
hivii huyu ndio yulee MTANGAZAJI WA RADIO TABORA? au ni yuleee aliyetumia jina la mtangazaji huyu?
nianzie hapa kwanza?

cc: tetty
 
Bahati mbaya ni kuwa kila mwenye nia ya dhati ya kuisadia jamii ya kitanzania uwa anaishia kuchafuliwa kukatishwa tamaa kubebeshwa lundo la tuhuma nk ili mradi kuuwa nia na dhamira yake ya dhati katika kuikomboa nchi hii.
Mkuu,naomba nitajie watatu wenye nia ya dhati ya kuisaidia jamii ya Kitanzania walioishia kuchafuliwa.
 
Gia imebadilishiwa angani on surface tunaambiwa vita inaendelea
 
Mbowe kashindwa kuheshimu katiba na taratibu za chama chake mara kadhaa kama kumwondoa kibabe ole sosopi kwenye kinyang'anyiro, lisu alikemea mwenendo huo?!
 
Paul Makonda kaka nakukubali sana

wewe ni jembe... achana na bavicha ambao hawajui wanachokipigania...

tukipata viongozi wenye uthubutu kama wewe na magufuli wengi.... kama 5000 hivi hii nchi ingeendelea haraka sana
 
Hahaaaa nchi ya matukio!
Hamna haja ya kutoa maisha ila kuna haja ya kuwa wazalendo kuondoa chuki na kufuata misingi ya kisheria.
 
Mbowe kashindwa kuheshimu katiba na taratibu za chama chake mara kadhaa kama kumwondoa kibabe ole sosopi kwenye kinyang'anyiro, lisu alikemea mwenendo huo?!

Tunaongelea TAIFA hapa hatuongelei CCM wala CDM ndiyo sababu hata muanzisha mada hakumuweka mwenyekiti wa CCM.Jibu hoja acha vihoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…