bongo-live
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 1,729
- 2,289
Hongera sn kw kutuletea mzee riooo
Huu ndio uanaume sasa kwa mujibu wakufikicha akili yangu ungesema majeshi ya wa tanganyika sio utuletee malalamiko mimi kushika pistola sijui bastola sijui nitakuwaje muuwaji.Acha nijishushe kukujibu.
1. Majeshi ya Ulinzi na Usalama yalikuwa wapi kuwalinda watanganyika hiyo 29 October
2. Askari wetu ni suspect wa mauji, Wengi wao ni watanyika.
3. Mkuu wa Majeshi CDF na IGP ni watanganyiaka walishindwa kuwalinda ndugu zao.
FIKICHA AKILI.