nani atoke

nani atoke

gwenivia

Senior Member
Joined
Feb 22, 2014
Posts
118
Reaction score
20
wafutao nan unataka atoke ktk tasnia ya filamu tz
males
ray
hemed
mlela

female
ndauka
wema
welu sengo
 
Kwanza umeuliza swali tete.....sasa hapo umemaanisha nn kwenye neno "watoke"
je watoke tasnia ya filam imewashinda au watoke kwa maana ya kung'aa na kuwa famous kutokana na fani!
 
atoke kiaje...mbona haueliweki, atoke kimauzo kuuza copy au otoke katika usanii....!??.....kama kimauzo ni lazima wafanye hivo kwani wao ni vijana wanapigana kuweka maisha katika mstari mnyoofu na kama ni kuachana na swala zima la usanii nahisi hiyo sio kazi yako...!!!
 
Back
Top Bottom