mbugu91
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 256
- 604
Nina deni la milioni moja na nusu niliyokopa kwa ajili ya kufanya biasha,pesa hiyo nimepata hasara na sijui pakuitoa. Aliyenikopesha anadai kwa nguvu zote,amesema ikifika januari 5 tunaenda police. natamani hata kujiua kwani sina amani,raha na furaha. naishi maisha magumu yasiyo na muelekeo nimepoteza dira. USHAURI,MSAADA WENU TAFADHALI.
