Hiyo kama sijakosea ni kesi ya madai ambayo Polisi huwa hawadeal nazo, hivyo mdai ataambiwa kwenda kufungua kesi hiyo mahakamani baada ya hapo utaletewa samasi ambayo itakutaka kwenda mahakamani kusomewa kosa lako. Unachotakiwa kufanya ni kukiri kosa na kutoa ahadi ya lini pesa utakuwa umekwisha ilipa. Usiogope muache aende Polisi.