Shomari kawambwa
New Member
- Mar 1, 2018
- 2
- 2
Wananchi wakisiwa cha mafia wapo katika acha kubwa ya miundombinu kua mibovu..
Boti za uvuvi ndio zinazotumika kusafirisha watu kutoka nyamisati kwenda mafia ambazo kiukweli nihatarishi kwa maisha ya watu..boti hizo Mara kwa Mara jua zinazima katikati ya bahari na neema za mungu tu kupata msaada..je? viongozi amlioni hili au munasubiria maafa makubwa zaidi yatokee mutoe rambirambi kwakujifanya muna uchungu.
Licha ya nauli kupanda kila kukicha za usafiri huo lakin hali ni mbaya sana, hasa sehemu yakupumzikia abiria pale nyamisati ipo ovyoo watu wanajirundika chini kwenye banda kama nyanya..viongozi hata hili hamulioni? Au kule hawaishi watu..
Licha ya kisiwa hiko kutoa samaki kwa wingi ila soko la samaki la wilaya hiyo halitazamikii na chakusikitisha zaidi hakuna jitihada zozote zinazo fanywa na mbunge wa huko mh..mbaraka dau kuwaboreshea maisha ya watu wake.