nani app developer wa tala

ukabu

JF-Expert Member
Dec 9, 2011
212
68
habari wana jf ningependa kufaham kampuni iliyohusika na kudevelope aplication ya tala .mwenye ufahamu anijuze tafadhali
 
Acha kelele na ww. Ingia playstore search iyo app na utamuona huyo developer wa app kwenye maelezo ya app
mi nataka kujua kampuni iliyohusika na utengenezaji wa hyo application ..nimeipenda ningependa nifanye nayo kazi kwa maana kwamba wana technolojia nzuri sana
 
Back
Top Bottom