mi nataka kujua kampuni iliyohusika na utengenezaji wa hyo application ..nimeipenda ningependa nifanye nayo kazi kwa maana kwamba wana technolojia nzuri sana
Unaweza shangaa anatangaza biashara kijanja..... huenda ni mmoja wa watengenezaji hiyo appAcha kelele na ww. Ingia playstore search iyo app na utamuona huyo developer wa app kwenye maelezo ya app
ivi bado wapo..toka niondoke na elfu 80 yao adi leo sija wasikia
hawakukupa vitisho eti watakuletea polisi?
Siku ukienda bank kuomba mkopo ndio utajua kama wamechoka au bado wana nguvu!!walikua wana nipigia simu na kutuma text mwisho waka choka...
ivi bado wapo..toka niondoke na elfu 80 yao adi leo sija wasikia
imetengenezwa na smartcodeshabari wana jf ningependa kufaham kampuni iliyohusika na kudevelope aplication ya tala .mwenye ufahamu anijuze tafadhali