Nani anikumbuka hii??

Ulanzi [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
 
Wacha hiyo kitu naona inaingia kwenye mbeta yake na tupovu twake.
 
Ndani ya Mafinga, kibaridi kimepulizaaaaaa unainywa na mboga ya majani. ... yoote inashuka chini...lazima umuanguse mtu
 
Nya mtutu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni pombe maarufu kwa wahehe hapo anakandamizia na ndafu ya mbwa hadi roho inasuhuzika
 
Pombe ya viumbe wote,ukimkuta cobra amepata hiyo kitu,ana lembuaga hata kinyonga haoni ndani,unaweza mgeuza unavyo taka
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…