kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,058
- 2,184
>>weka clip ya ndugai moja tu wakati wa kampeni tujikumnbushe >>
Iron Lady kutoka Makandana TuliaMarehemu Samweli sitta pamoja na udhaifu wake lakini Bunge lake lilikuwa lenye nguvu kubwa sana na alikuwa anajiamini mno katika uendeshaji wa Bunge nzima.
Sasa kwasababu waliofuata wote wamepwaya katika utendaji , je ninani angefaa kukalia hiki kiti cha u speaker
Naomba utoe jina na sababu. Ahsante.
Uspika ni tofauti na Bongo flevaSugu mbunge wa Mbeya