Nani anayemlipa Kubenea?

Halipwi anaelekezwa na mwenye gazeti kuandika anachokiandika.
 
Wewe si uendeleze gazeti lako la kupiga mapambio kwa majizi na watesi wa nchi? Zidisha mapambio labda utamshinda huyu mfichua waovu na majizi. Sitamsahau Kubenea na gazeti la mwanahalisi alipomfichua yule mpigaji wa kiongozi wa madaktari Dr Ulimboka. Hivi yuko wapi Ramadhani Ighondu? Yule TISS alipelekwa ubalozini Ramadhani Ighondu. GO Kubenea Goooooo!
 
Kujua mwelekeo wa Chama na serikali tusome Gazeti la Uhuru.
 
Aliyekuwa anamlipa Miaka yote
 
Mi
Mimi ndio nayemlipa!!! Unasemaje sasa
 
Kwa nini ulikuwa hulisomi?
Tafadhali nijibu nijue reason behind kabla sijakuuliza swali la msingi maana wewe ni mwandishi mbobezi

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kwa vile magazeti ni mengi sana, sisi sekta binafsi hatuwezi kununua kila gazeti, hivyo tunafanya selectivity ya kuchagua machache tuu ya kununua, mengine yote unaishia tuu kusoma headline, ikitokea kuna siku kuna headline that will interest you, then ndipo unanunua.

This is the same kwenye kuangalia TV na kusikiliza redio. Kuna TV siangalii, kuna redio sisikilizi.

P
 
Jibu limetosha hakuna swali lingine tena

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Nani aliyekuwa anamlipa mwanaharakati huru?

Nani anamlipa Habib Tetere Mchange?
 
Nani alokiwa akimlipa mmiliki wa gazeti la Jamvi la Habari Bw. Cyprian Musiba? Ukimjua wala hautapata tabu na Kubenea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…