Nani anayefaidi zaidi ya mwingine? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani anayefaidi zaidi ya mwingine?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by hKichaka, May 7, 2011.

 1. hKichaka

  hKichaka Senior Member

  #1
  May 7, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi nina swali wana JF hivi jamani mi najua kabisa umuhimu wa kula chakula cha jioni na hata usiku lakini swali langu je nani anayenufaika zaidi?kwa kuwa mmoja anaandaa wanapika wote lakini mmoja anatapika mwingine anakula hata matapihi ya mwenzake naombeni jibu.
   
 2. pauline

  pauline JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2011
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 651
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  age yako tafadhwali...:evil:
   
 3. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,812
  Likes Received: 1,054
  Trophy Points: 280
  acha mambo ya kitoto, ala!
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  atakuwa umri wa balehe.
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  May 7, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  labda ujaribu vyote....
  ili ujue.......
   
 6. KWI KWI

  KWI KWI JF-Expert Member

  #6
  May 7, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  WEWE MTOTO hKichaka ACHA KUWEKA THREAD AMBAZO HAZINA MAARIFA...unataka kupigwa BAN?
   
 7. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #7
  May 7, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  hebu jaribu nawe kuingiziwa then utapata jibu...............
   
 8. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #8
  May 7, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  balaa! Nadhani ni rahisi kujua umri wake. Haya maswali zamani yalikuwa yanaulizwa na watoto wa form two. Siku hizi yanaulizwa na watoto wa darasa la sita. Watoto walio darasa la sita kama alianza darasa la kwanza akikwa na miaka saba leo hii atakuwa na miaka mingapi?
   
 9. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #9
  May 7, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35

  Hahahaaaa nafwa kwa kicheko mie...
   
 10. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #10
  May 7, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Draw ngoma
   
 11. vena

  vena JF-Expert Member

  #11
  May 7, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mie hata sielewi
   
 12. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #12
  May 7, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Ngoja niende chumbani mie
   
 13. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #13
  May 7, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Are you trying to prove something ??? Au ndo moja ya majaribio kuona members ni GT to what extent .....
   
 14. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #14
  May 7, 2011
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  kama ni Ke ataweza kutapika? Msameheni bure ni mtoto!
   
 15. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #15
  May 7, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Soma wewe cha kuingilia ya wakubwa
   
 16. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #16
  May 7, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tumeingiliwa kweli!!!
   
 17. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #17
  May 7, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  nenda mombasa kwa ajili ya practicals,usitake kusimuliwa kila kitu sawa mdogo wangu?
   
 18. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #18
  May 7, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,496
  Likes Received: 418,984
  Trophy Points: 280
  Code:
  Mimi nina swali wana JF hivi jamani mi najua kabisa umuhimu wa kula chakula cha jioni na hata usiku lakini swali langu je nani anayenufaika zaidi?kwa kuwa mmoja anaandaa wanapika wote lakini mmoja anatapika mwingine anakula hata matapihi ya mwenzake naombeni jibu.
  hili swali halina majibu labda ukawaulize wale hermaphrodites ambao wana jinsia zote mbili...............na hata ukifahamu itakusaidia nini.........au unataka kubadilisha jinsia ili uwe ni yule anayefaidi zaidi????

  I'm curious too......................
   
 19. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #19
  May 7, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  LY la saba c
   
 20. Zinedine

  Zinedine JF-Expert Member

  #20
  May 7, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,189
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ngoja nikajivue gamba mie
   
Loading...