Nani anayeelewa vema sakata la Babu Seya?


nasikia mbaya zaidi alimtungia na wimbo 1 hivi! Unaimbaga hivi s....
 
Piga ua garagaza,zimishia sigara kwenye kabang,Tanzania hasa kwenye jesh la polisi maswala ya kubambikana kesi yapo,mara nying hapa wanaobambikwa kama ubavu huna unaozea jela,mimi ni shahid wa hli kwakuwa kaka yangu ninayefatana nae yalimkuta haya!,tukirud kwenye mada mtagonganisha sana vichwa ila ukweli anao prezo,pamoja na kina seya!,hapa yeyote anayechangia me naona anatumia evidence za uvumi na sio facts,mfano wanaosema kuna video hatujawah kuiona,wenye kusema walipokonyana demu nalo hili ukweli wake hatuwez ujua bali wao ndo wanafahamu
 
jamani babu seya alionewa sana,tangu nijiunge humu jf nimebaini kuna mamburura mengi yako ccm huwa yanaharibu thread za muhimu,mtu mwenye akili timamu anatoa wapi ujasiri wa kulawiti watoto yeye na wanae wote wawili? asiwepo hata mmoja wa kusema hapana,ina maana wote ni mataahira? baba na watoto wako ulawiti,wote wafanye ujinga huo,inaingiaje akilini? kama ingekuwa babu seya peke yake,we would have said, probably he did it,kesi huwa zinasukwa,kuanzia mwendesha mashtaka,hadi jaji,kwa nini vyombo vya habari vizuiwe kuripoti mwenendo wa kesi?sote tunajua zombe aliua,lakini mbona yuko huru? kapuya alibaka,nani wa kumgusa na yeye ndo serikali? ni wajinga tu ndo wanaamini babu seya alibebana na wanawe kubaka,iko siku tutasema yote humu jf,mi siogopi kung'olewa meno,na kucha,hata kutuua watumalize tu wote,one day the truth will be exposed publicly.
 


U are real a great thinker buddy!!!!!
 
kila kitu unachokifanya duniani jicho la mungu huwa linaona,uwe mfalme uwe mtumwa uwe tajiri uwe masikini,isitoshe kuna makosa mengine mungu huyalipa hapahapa duniani. ukweli anao mwenyezi mungu ambaye yeye huukumu kwa haki
 
rumours kuhusu hii ishu nmeisikia kitambo sana ila ndo hvo sielewi lolote mimi
 
mzee alikuwa anatupa burdani wamempoteza babu kwa visasi vya ajabu.seya vaa vzr 2toke wote.dah inauma xana
 
watu wanajibu kwa jazba dhidi ya mleta mada,kuna mahali amewagusa wengine?kwani ukijibu simple tu kwamba 'mkuu wa kaya'kuna shida gani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…