Nani Anaweza Kumrithi Prof. Lipumba?

Julius Mtatiro anafaa kuwa mwenyekiti wa CUF,apewe tu.
 
Zipo taarifa kwamba kambaya na mketo wanaongoza kampeni ya kumrejesha lipumba .
Mketo hayupo kabisa katika hilo kundi.Ni Kambaya,Hamidu Bobali (mbunge wa Mchinga) na kundi kubwa lililoanguka katika kura za maoni.
 
Walio isaliti nchi leo wanataka kurejeshwa kwa ndumba. Wasomi uchwara wachumia turbo hawana jipya janja yao kuwa Fanya wtz mitaji ya kisiasa. Wakafie huko sina hamu nao
 
Anaeweza kumrithi Pro. Lipumba ni Lipumba mwenyewe tu.
 
Ili tukifufue CUF kiwe Chama kimbilio la Vijana ni Lazima tuweke Mwenyekiti Kijana ataendana na falsafa ya Vijana hasa katika Karne hii ambao vijana wengi wanakimbilia siasa. Julius Mtatiro anatosha kabisa kuivusha CUF hapo kilipo, na hatimae kikawa Chama Kimbilio la Wanyonge na Mpinzania Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…