Nani Anaweza Kumrithi Prof. Lipumba?

Alikuwa prof safari lakini naye yuko cdm. Si unajua cuf chama cha maprofesa
 
Dr. Slaa ndiye anayetarajiwa kuwa Mwenyekiti wa muda wa CUF kabla ya kufanyika kikao cha mkutano mkuu wa CUF utakaomuidhinisha rasmi kuwa mwenyekiti kamili wa chama hicho.

Dr Slaa hawezi kukubali kupelekwa puta na mwenye chama chake Seif Sharif Hamad. Wameshindwa wengine kabla yake. Atachaguliwa mtu ambaye atakubali kuwa ndio mzee kwa Maalim Seif Sharif Hamad.
 
Slaa amesha pitiwa na mafuliko ya lowassa na lipumba wanaham tena na siasa. Waliambiwa lowassa nimafuliko sasa wamejionea. Lowassa anakuja na Tim yake hadi mwkt mbowe ataachia umwemekiti awakabizi.
 
Hebu weka orodha ya viongozi wa ccm ccm hapa
1 Jk
2 kinana
3.
 
ProF nikimfikiria sipati jibu. Kwa nini lakini amejiuzuru????
 
wakuu HIVI KUNA TOFAUTI GANI BAINA YA PRO. LIPUMBA, MAPALALA NA KABOUROU?
 
Prof. Lipumba anatoka Tabora, Nd. J. Mapalala - Tabora na Nd. A. Kabourou anatoka Kigoma na ni M/kiti wa CCM (M)
 
Mh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…