Nani anauza quality DAC kwa hapa Tanzania?

nerilan

JF-Expert Member
Dec 11, 2013
416
606
Habari ya siku wakuu.

Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, natafuta high quality DAC (Digital to Analog Converter) kwa hapa Tz mkoa wowote. Yaweza kuwa mpya au used.

Kimsingi iwe na output quality ya hali ya juu. Ikiwa na uwezo wa 24 bit 192 kHz itapendeza zaidi.

Shukran
 
Habari ya siku wakuu.

Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, natafuta high quality DAC (Digital to Analog Converter) kwa hapa Tz mkoa wowote. Yaweza kuwa mpya au used...
Jaribu kvd mjini ama Ms meghji mtaa wa makunganya.

Kibongo bongo vitu vingi vinauzwa Mara 3 ama Zaidi ya thamani halisi.

Unataka ya simu ama?
 
Jaribu kvd mjini ama Ms meghji mtaa wa makunganya.

Kibongo bongo vitu vingi vinauzwa Mara 3 ama Zaidi ya thamani halisi.

Unataka ya simu ama?
Asante kwa reply chief. Nahitaji kwa ajili ya kutoa digital audio kwenye bluray player kwenda kwenye stereo amplifier ambayo ina RCA tu na haina Optical au Coxial in terminals.

Nimenunua DAC moja hizi za kichina natamani hata niitupe maana quality ya mziki ni so poor. Sauti inatoka iko chini sana
 
Chifu hii ya kazi gan manake naona majina ya kigeni ,nizidi jifunza na kujaza ubongo
Ina convert signal za digital kwenda Analog, mfano kwenye simu USB ni Digital na Earphone za kawaida ni Analog, hivyo ukinunua Adapter ya USB kwenda 3.5mm jack ndani inakuwa na hio Dac.
 
Asante kwa reply chief. Nahitaji kwa ajili ya kutoa digital audio kwenye bluray player kwenda kwenye stereo amplifier ambayo ina RCA tu na haina Optical au Coxial in terminals.

Nimenunua DAC moja hizi za kichina natamani hata niitupe maana quality ya mziki ni so poor. Sauti inatoka iko chini sana
Anza na hayo maduka mawili pia Kuna duka moja la mtumba lipo msimbazi mkbala na Jengo la Simba.

Kama unajiweza Agizishia online.
 
Back
Top Bottom