Ukiangalia mwenendo mzima wa sakata la Tegeta Escrow account,utagundua kuwa, kuna uwezekano mkubwa wa waziri mkuu ambae nae amekuwa akituhumiwa kupata mgao,kuwa implicated katika kashifa hii na hivyo kutakiwa kuwajibika.
Kuna viashiria kadhaa kuwa PM anaweza kutakiwa kuwajibika kwa kujiuzulu.
Mosi,Pinda ametajwa sana kupata mgao katika hili sakata na sidhani kama itakuwa ni uzushi tu maana siku zote mambo huanza hivi hivi na mwisho wa siku inageuka kuwa kweli.
Pili,imekuwa ikisemwa kuwa kashifa hii huenda ikaiangusha serikali na mh.Zitto pekee alikwenda mbali zaidi kwa kusema sakata hili linaweza kuangusha "tembo mkubwa".
Sasa mh.Zitto anaposema kashifa hii inaweza kumuangusha tembo mkubwa,hapo alikuwa anamlenga nani zaidi ya waziri mkuu?
Mbali na viashiria hivyo,jambo lingine linalomuweka Pinda katika wakati mgumu wa ku-survive kashifa hii na pia ku-survive vote of no confidence endapo tutafika huko,ni hatua yake ya kujiingiza katika kinyang'anyiro cha uraisi ndani ya CCM.
Kwa mtazamo wangu,wapinzani wake watatumia mwanya huo kummaliza kwa kuhakikisha(ku-facilitate) upigwaji wa kura hiyo na ikipigwa aondoke.
Sasa kwa utangulizi huo,ni dhahiri PM anaweza kuondoka kwa style ile ile ya mtangulizi wake unless ripoti hiyo ya CAG iandaliwe kum-favor(ichakachuliwe).
Je,endapo hayo yatatokea,unadhani ni nani anastahili/anafaa kumrithi Mizengo Pinda?
Kwa maneno mengine,kuna yeyote mwenye utendaji wa kukushawishi uamini kuwa anafaa kurithi mikoba ya mh.Pinda kutoka katika baraza la mawaziri la sasa?
Kumbuka,kwa mujibu wa gazeti la Nipashe la jana tarehe 08/11/2014,taarifa ya CAG inaweza kuwasilishwa kwa spika wiki hii inayoanza kesho na kisha ikapangiwa siku ya kuwa-tabled bungeni.
==> WAZIRI YEYOTE..KUANZIA MWAKYEMBE, OR PROF. MWANDOSYA, OR HATA MAGUFULI ANAWEZA KUKAIMU HADI UCHAGUZI MKUU UPITE...
ONE OF THOSE ABOVE CAN BE ACTING PM...TILL NEXT YEAR GENERAL ELECTION....Miezi michache ya uchaguzi uliobakia HAKUNA HAJA YA KUMCHAGUA PM MWINGINE....anawekwa Acting PM....Coz Pinda ndio byebyeeee hivyo...hakika hawezi kupona kwa hii scandal ya ESCROW....!!!
ni zamu ya wanawake na nampendekeza sophia simba!
lameck akairo mbunge wa rorya
shangingi la jiji duh!
Huko CCM sioni anaefaa labda Mbatia kwa kuwani mbunge wa kuteuliwa.
Hivi wewe ile kashfa yako ya kufumaniwa na kupokea rushwa kutoka Kwa wafugaji umeshaighulikia kikamilifu? Inabidi tu unyamaze kimya ila ukiendelea kubwabwaja humu tutayaanika mambo yako yoote yakukiuka maadali na miiko ya uongozi.MIZENGO PINDA HATACHAFUKA KWA HADITHI HIZI ZA KUUNGAUNGA - WANAOMTUHUMU WANA LAANA ZA VYAMA VYAO NA WANAJIJUA WAKINISOMA-POTELEA POTE WAJE NA POVU LA MATUSI,UJUMBE HUU WANAUSOMA KIMOYOMOYO-WANAOWATUMA KUCHAFUA WATU WAWAMBIE WAKAJIPANGE UPYA,MADUKA YAO YA WIZI YAMEFUNGWA RASMI,VIBARAKA WANATAPATAPA HAWAJUI MWAKANI KAMA watapewa MAGARI YA KUFANYIA KAMPENI HUKO MAJIMBONI KWAO KAMA WALIVYOZOEA,UJUMBE HUU NI DEDICATION KWA WASAKA TONGE WOTE NA WAPAMBE WAO!!!!
Migiro
CC: needeseelaNeedessela-Najiamini na ndiyo maana natumia verified user,-huna lolote la kunitisha ooh sijui utaandika humu,na all the porojos you have,unles Huyo mke ALIKUWA mkeo na wewe UKIWA refa wa game,otherwise huna, Ooooh rushwa za wafugaji,kajipange UPYA,iLi UONGO wako japo uwiane na jina lako la bandia.-So nakupa UHURU jimwage uyaseme ULIYONAYO yakikuishia kodisha na WAPAMBE ,-But-Pinda HATACHAFUKA kwa HADITHI ZAKO hizi za alfulela ulela,utasubiri sana,utatunga sana HADITHI.