Nani anastahili kumrithi Mizengo Pinda?

Nani anastahili kumrithi Mizengo Pinda?

Ndugu wana JF

Ni wazi kuwa kashfa hii ya Escrow itamlazimisha JK kubadilisha baraza lake la mawaziri kwa mara nyingine tena. Naomba tuanze utabiri wetu kama kawaida, nani na nani atakuwepo katika safu hii ya lala salama kuelekea uchaguzi mkuu 2015.

Mimi naanza hapa. Wengine endeleeni

1. Waziri mkuu- Prof Mwandosya
2.Nishati na Madini- Stephen Wasira
3.
4.
5.
6.
7.
 
Umeonesha kile mnachokitafuta ndani ya ESCROW. Hapana shaka anayetafutwa ni MUHONGO na PINDA, kazi kubwa inayofanywa na LOWASSA na MENGI. SIdhani kama mtafanikiwa?
 
raisi nae,aondoke,,haiwezekani Anabadili baraza la mawaziri kama pichu,,,inamaana Uteuzi wake umekua hauna mantiki,,,na yeye awajibike sasa,,,
 
Umeonesha kile mnachokitafuta ndani ya ESCROW. Hapana shaka anayetafutwa ni MUHONGO na PINDA, kazi kubwa inayofanywa na LOWASSA na MENGI. SIdhani kama mtafanikiwa?
Mkuu , unaona mbali sana, ESCROW ni vita: LOWASSA vs PINDA(mbio za urais 2015), MUHONGO vs MENGI(sakata la udalali wa vitalu vya gesi)
 
kama baraza litavunjwa na ataitajika pm mpya, kwa maoni yangu bora wamchukue mmoja wapo ya wastaafu, gharama za kuwatunza si mchezo aisee, kuna Warioba, Sumaye, Malecela ..., wangempa mmoja wapo kwa kipindi hiki mpaka uchaguzi ujao, halafu hizi kashfa hizi za ufisadi mbona ndugu zetu wa visiwani wanakuwaga hawamo?
 
CCM wameshindwa kabisa kuongoza hii nchi wawakabidhi tu UKAWA bila hata uchaguzi,tumechoka.
 
Umeonesha kile mnachokitafuta ndani ya ESCROW. Hapana shaka anayetafutwa ni MUHONGO na PINDA, kazi kubwa inayofanywa na LOWASSA na MENGI. SIdhani kama mtafanikiwa?

Kwani hao ndio wameiba hiyo pesa?
 
kama baraza litavunjwa na ataitajika pm mpya, kwa maoni yangu bora wamchukue mmoja wapo ya wastaafu, gharama za kuwatunza si mchezo aisee, kuna Warioba, Sumaye, Malecela ..., wangempa mmoja wapo kwa kipindi hiki mpaka uchaguzi ujao, halafu hizi kashfa hizi za ufisadi mbona ndugu zetu wa visiwani wanakuwaga hawamo?

hii imekaa poa kwa kweli lakini sidhani kama hukumkusudia EL mi ninsingempendekeza EL kwa sasa kwa sababu ya hali ya hewa ilivyochafuka, Warioba sidhani kama wanaweza kumfikiria ila wakimfikiria nadhani watakua waeua ndege wawili kwa jiwe moja kwani pia watampunguza kasi kwenye kuitetea katiba y awananchi na itabidi aiunge mkono katiba pendekezwa. ila sidhani kama itakua rahisi kumshawishi hadi akakubali. Malecela ana nafasi kubwa kama kweli wazo hili likipewa nafasi
 
kama baraza litavunjwa na ataitajika pm mpya, kwa maoni yangu bora wamchukue mmoja wapo ya wastaafu, gharama za kuwatunza si mchezo aisee, kuna Warioba, Sumaye, Malecela ..., wangempa mmoja wapo kwa kipindi hiki mpaka uchaguzi ujao, halafu hizi kashfa hizi za ufisadi mbona ndugu zetu wa visiwani wanakuwaga hawamo?
Katiba tuliyonayo PM lazima awe mbunge wa kuchaguliwa. Hatuna PM mstaafu ambaye ni mbunge sasa hivi.

Kashfa nyingi zinahusu mambo ya Tanganyika ndo maana mara zote Wazanzibar hawamo.
 
Ndugu wana JF

Ni wazi kuwa kashfa hii ya Escrow itamlazimisha JK kubadilisha baraza lake la mawaziri kwa mara nyingine tena. Naomba tuanze utabiri wetu kama kawaida, nani na nani atakuwepo katika safu hii ya lala salama kuelekea uchaguzi mkuu 2015.

Mimi naanza hapa. Wengine endeleeni

1. Waziri mkuu- Prof Mwandosya
2.Nishati na Madini- Stephen Wasira
3.
4.
5.
6.
7.

1. Waziri Mkuu-................ John Pombe Magufuli.
2. Waziri wa Fedha-.......... Mwigulu Lameck Nchemba.
3. Nishati na Madini-......... Aggery Mwanri.
4. Sheria na Katiba........... William Ngeleja.
5. Mambo ya Ndani........... Januari Makamba.
6. Mambo ya Nje.............. Benard Mambe.
7. Mawasiliano................. Prof. Makame Mbarawa.
8. Ujenzi......................... Charles Kitwanga.
9. Maji na Mifugo.............. Ole Sendeka.
10. Maliasili na Utalii.......... James Daudi Lembeli.
11. Loading..............
 
Umeonesha kile mnachokitafuta ndani ya ESCROW. Hapana shaka anayetafutwa ni MUHONGO na PINDA, kazi kubwa inayofanywa na LOWASSA na MENGI. SIdhani kama mtafanikiwa?

Kila mtu na abebe mzigo wake Mengi na Lowasa wamefikaje hapo
Mengi kafanya jukumu lake la kuufahamisha umma yaliyotokea
Lowasa ndo alimwambia Muhongo na Pinda wa wtetee wizi. Kama pinda na muhongo wangetekeleza majukumu yako ipasavyo ITV ingeonesha nini acheni umbumbumbu
 
Back
Top Bottom