Nani anashinda vita Ukraine?

Ukraine inanataka kwa gharama zozote zile za ndani au nje ya ukrane.Dunia yote itaabike lakini russia asambaratike.angalia hii.ngano wameichoma moto ili dunia mchukie russia.
 
Unajisahaulisha kuwa baada ya mkuu wa jesh la uk kutoa kauli ya kuwa tayar kwa jesh kimashambuliz haikupita wiki wazir mkuu akaanzishiwa zengwe mpaka akaachia ngazi
Boris katoka kwa kashfa zake zingine huko wala sio kwa sababu hiyo.
 
Umepuliza maswali ,nawe heshimu majibu ya wenzako.
Kama ulikua una majibu basi usingeuliza.
 
Oh kuumbe! Hakuna su 35 yoyote iliyodondoshwa Ukraine zaidi ya rumours ziso na uhakika.
Ka 52, mi28 ( heloes) na su 25 na 34( attack aircraft) Ni miongoni mwa ndege zilizodondoshwa mno( by airdefences systems) huko.
Su 35 Ni air superiority aircraft , multrole lakini imetumika mara chache zaidi ya hizo tajwa hapo juu coz Ukraine airforce Ni dhaifu kupita kiasi dhidi ya Russia hasa kwenye air to air combat.
Kutokea mwanzo wa Vita enzi za mystery "ghost of Kyv" Hakuna confirmed air to air kill ya Ukraine airforce dhidi ya Russia. Ukraine imeendelea kucontain less modernized version ya SU 27, mig 29( Soviet made) ambayo Zina poor avionics ambazo Ni vulnerable to be attacked by newest Russian superiority fighterjet Su 35 bill kusahau long range Nuclear capable aircraft TU 23. Iko nyumbani Russia inaleta maafa magharibi mwa Ukraine

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Duh umeandika kws kujifurahisha kule Crimea kulikua na Little green men kazi yao ilikua ndogo TU kuiteka na kusimamia uchaguzi bila kero.
Hata baada ya hapo Bado Ukraine inazidi kumegwa

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Russia ndio huyo wenge kibao mpaka kajikuta terehe 21 anapiga SU-34M jet fighter la ukweli ye analipiga mwenyewe huo pia ni uwoga.
Friendly fire Ni kawaida kabisa vitani , yaani changamoto ambayo so rahisi kuikwepa hutokea vitani kote ulimwenguni.
Chukua hi kule Tz katika 1978 waliidondosha mig21(f7) ndege yao wenyewe after no fly zone .
Kule Iraq Mara kadhaa US (2003) ilidondosha ndege zake kwa friendly fire.
Hata India 2019 waliidondosha ndege yao kwa friendly fire.
Nothing new br!


Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…