Mkuu hivi ni kweli jasusi mbobezi ktk kazi yake anaweza kuruhusu mambo yaende kirahisi bila kuwa na pindamizi then hata asijiulize Why Was so easy....! Then aridhike tu kuwa kashinda na kaaogopwa.!?[emoji848]Kwanza kabisa tutazame ni nini source ya vita?
Hii vita sio ya bahati mbaya ila ni vita ambayo ilitengenezwa, hasa na WESTERNS. Kwa upande wa pili, Russia tayari alijua ipo siku atakuja kupambana na NATO indirect way or direct way, kwahiyo na yeye alijipanga mno juu ya kupambana.
Miaka ya nyuma kuanzia 2012 au 14, UKRAINE alianza saidia misaada ya silaha na mafunzo kutoka mataifa ya Ulaya. Hii ilikuwa ni indicator ya kwanza kwa Russia kutambua kuwa Ukraine anajiandaa kupambana nae. Na yeye hakuwa na budi kujiandaa.
Sasa ni nini kilifanya Russia ajikite ktk hii vita, KGB ilifeli sehemu moja tu kwa Putin. Kumuaminisha Rais Putin yeye ni mfalme anayeogopwa zaidi hasa ktk misimamo mikali na kijeshi ulimwenguni. HAPA NDIPO WALIPOANZA KUFELI.
Kwanini alifeli hapo? Putin akatengenezewa mazingira aseme kuwa hii operation yoyote atakayeingilia atapotezwa kabisa. Alitegemea watu wangeshtushwa mno na hii kauli, na ni kweli walishtushwa na kuogopwa ila kwa bahati mbaya hii kauli ilikuwa ni upuuzi tu kwa westerns. Nia yao Westerns ni kumtaka Russia aingie vitani, na ni kweli kaingia, walimfanyaje ili aingie?
Putin alipoitamani CRIMEA, watu walicheza na akili yake, wakamruhusu aimege na kuichukua ili ajiome mwenye power nq hakuna wa kumgusa ili sasa aje aitamani Ukraine yote na asiwe mtu wa kumuingilia kama Crimea. Huu ni mtego ambao CIA walitaka Putin ajiaminishe zaidi. Kwa hapa Tz ni kama vile Mh Mpango alipopigwa na ule ugonjwa mpaka akanusurika kufa, watu wa kazi hawakutaka mpango afe, walijua Mpango ndo operator mkuu wa pesa wa jiwe, so ukigusa afya yake umegusa afya jiwe. Walijua kabisa mpango lazima apate support ya kiafya kutkka kwa jiwe, ni kweli kabisa, Dokta wa Jiwe akamtibu mpango na akapona, watu walitafuta TRUST ya Dokta kwa Jiwe kabla hawajamdondosha jiwe. Jiwe alipoanza kuumwa alimuamini mno Dokta wake sababu ndo mtu alimtibu mpango, hakuyaona mahesabu haya marefu. Daima watu mashujaa huwa wanaangushwa na mambo madogo mno, hata ktk vitabu vitakatifu kumbuka kuanzia Adam, Samson n.k
Putin alijiamini hivyo baada ya kumega Crimea, akajiona yeye ni untouchable na ulimwengu mzima hakuna mbabe zaidi yake, hakujua kuwa wenzie waliruhusu vile for a reason
Naendlea ...
Hujaacha tu uwongo wako.Sio wanajeshi tu Urusi imekamata mpaka makandama wa ngazi za juu kutoka marekani
Nipo hapa hao hawatopigana kamwe na siku ikitokea....... narudia ikitokea wamepigana Mimi na wewe hatutakuwa tunapost hapa TenaKuna Msitari mwembamba sana kati ya hao watu wawili kias kwamba Tofauti yao inakosa maana , ndo maana mtu anaetunza Mali za wizi nae hua tuna mchukulia kama mwizi tu, na katika adhabu hua lazima ahusike pia.
Jasusi mbobezi kumbuka naye ni binadamu Kama wewe.Mkuu hivi ni kweli jasusi mbobezi ktk kazi yake anaweza kuruhusu mambo yaende kirahisi bila kuwa na pindamizi then hata asijiulize Why Was so easy....! Then aridhike tu kuwa kashinda na kaaogopwa.!?[emoji848]
mtu aliechapika ndo kila siku anajinyakulia majimbo tu.. utopolo mwingne bhanaURUSI kachapika sana kiukweli
Tunaona MOSCOW na majiji kadha hahakaliki huko tumeona gharama zamaisha zinapanda huko
CRIMEA imerejelea KIEV pia yale maeneo yampakani ya RUSSIA yaliobebwa na kuunganishwa na UKRAINE kiukweli RUSSIA kachapika haswaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikimbilia wapi kwanzaHujaacha tu uwongo wako.
Afande achana na hao vijana, utamiza akili zako tu.Huku ndio kukurupuka kwenyewe. Sijui mueleweshwe vipi kimedani! Labda utaelewa kwa maswali hivi hivi; Hao makamanda wa ngazi za juu unaosema, waliingia Ukraine baada ya Urusi tayari keshatangaza OPERATION IN UKRAINE au kabla?
Walikuwepo Ukraine kwa sababu zipi na tupe evidence kwamba walijiingage kwe hii vita ndipo wakakamatwa na baada ya kukamatwa Urusi alichukua hatua gani dhidi ya Marekani?
Ukikosa majibu ya haya basi utatudhihirishia kuwa sheria za kivita huzifahamu
Afande unapoteza muda wako tu.Kweli kazi ipo. Enhe what happened then, Urusi akazishambulia nchi za NATO? Pale jirani kuna Polland, Finland, Estonia, Sweden wote ni wanachama wa NATO, je Urusi alishawahi kurusha kombora likadondokea huko kwenye wanajeshi wa NATO?
Westerns wametenga bajeti ya miaka mitano vita vya Ukraine, hapo ndipo Russia anapoishiwa nguvu, miaka mitano si mchezo.Russia ishinde wapi ,mpaka sasa pamoja.na kumdharau Zelensky kwa.kweli namsifu na Ukraine itashinda nawambia .Rusia hawakuamini vita itachukua muda mrefu hivi .Ukiona wewe ulijiandaa sana kupigana na adui na ukachukua muda mrefu ujue utaishiwa pumzi tu
Karibu"ni kama vile Mh Mpango alipopigwa na ule ugonjwa mpaka akanusurika kufa, watu wa kazi hawakutaka mpango afe, walijua Mpango ndo operator mkuu wa pesa wa jiwe, so ukigusa afya yake umegusa afya jiwe. Walijua kabisa mpango lazima apate support ya kiafya kutkka kwa jiwe, ni kweli kabisa, Dokta wa Jiwe akamtibu mpango na akapona, watu walitafuta TRUST ya Dokta kwa Jiwe kabla hawajamdondosha jiwe. Jiwe alipoanza kuumwa alimuamini mno Dokta wake sababu ndo mtu alimtibu mpango, hakuyaona mahesabu haya marefu"
Bila shaka wewe ni senior hapo TISS mkuu mpaka umeyajua haya
Basi naomba nikwambie mkuu kuna kijana wako wa TISS ananitafuta na wanajeshi wanataka wanipe kichapo kisa wivu wa mapenzi
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Muda huu saa 17:45 tarehe 24-07-2022 Majeshi ya Ukraine yanakaribia kuukomboa mji wa kherson ambao umekaliwa na Urusi.Kunywa soda nitalipa.Nipo hapa kijiweni.Umeshusha point sana
Ahsante sana mkuuYaani umeandika yaliyokuwa moyoni mwangu.Mkuu pata kinywaji bili yangu.
Chanzo ni CIA sio?Mnafiki mkubwa wewe, Taarifa ya CIA ni wanajeshi 15000 wa Russia wameuliwa vitani, nadhani hizi ndio habari njema upendazo.
Mwez wa tatu Putin alikiambia kikosi cha Nuclear kiwe tayari kwa lolote. UK akajibu kuwa, anapeleka Nuclear Poland na Sweden. Toka wamjibu hivyo, hatukuwahi kusikia Russia akitaja neno Nuclear.Sasa washushe atomic wao watapona?Check.umbali.kutoka Keiv mpaka.moscow uone kama na.warusi watapona.
Jasusi yoyote huwa anaelewa hii principle, ukiwa jasusi muda wote unafanyiwa ujasusi. Putin amezidiwa kete. Lazima uelewe kuwa CIA lile shirika halibebani kindugu kwenye kuajiri kama ilivyo urusi, wale wazee wa soviet ndio wanaendesha nchi, wanarithisha nafasi familia zao. Sasa US hamna takataka kama hizi.Mkuu hivi ni kweli jasusi mbobezi ktk kazi yake anaweza kuruhusu mambo yaende kirahisi bila kuwa na pindamizi then hata asijiulize Why Was so easy....! Then aridhike tu kuwa kashinda na kaaogopwa.!?[emoji848]
Hiyo sentensi ya mwisho ungeiandika kwa herufi kubwa ili wakuelewe zaidi.Jasusi mbobezi kumbuka naye ni binadamu Kama wewe.
Kiufupi Ukraine ishakua mfupa kooni kwa urusi...karata hazikuchangwa vizuri achana na mashabiki maandazi wa jf hawajui maana ya Vita.
Vita inahitaji uchumi imara hasa hizi Vita ndefu ndefu
Wasalimie hapo chato mkuu! Naona umeshiba viazi sasa unaishia kuandika ujinga.URUSI kachapika sana kiukweli
Tunaona MOSCOW na majiji kadha hahakaliki huko tumeona gharama zamaisha zinapanda huko
CRIMEA imerejelea KIEV pia yale maeneo yampakani ya RUSSIA yaliobebwa na kuunganishwa na UKRAINE kiukweli RUSSIA kachapika haswaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajisahaulisha kuwa baada ya mkuu wa jesh la uk kutoa kauli ya kuwa tayar kwa jesh kimashambuliz haikupita wiki wazir mkuu akaanzishiwa zengwe mpaka akaachia ngaziMwez wa tatu Putin alikiambia kikosi cha Nuclear kiwe tayari kwa lolote. UK akajibu kuwa, anapeleka Nuclear Poland na Sweden. Toka wamjibu hivyo, hatukuwahi kusikia Russia akitaja neno Nuclear.