Nkerebhuke
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 796
- 2,027
Kuna mwanajeshi yeyote wa NATO aliyopo Ukraine officially?Sahihisha Kwanzaa ni vita Russia na Nato
Toa maoni ambayo wenzako wata enjoy kusoma na kujifunza, weka reference namna nato anavyohusika kwa namna moja au nyingine. Lengo la huu uzi ni kutaka kupata maoni ya wajuvi wa medani ambao hawatumii hisia na hawana upande wenye uwezo mzuri wa kuchambua taarifa kisayansi.Sahihisha Kwanzaa ni vita Russia na Nato
Una uelewRussua ameshashinda kitambo sana kwa kumega maeneo ya kimkakati. Uzi ufungwe
Naheshimu maoni yako ila nisamehe kukuambia hauna ujuzi wowote kuhusu medani, nomeshasema mwanzoni kama huna hoja pita pembeni. Hapa wanaitajika watu wanaojua ushandi wa medani unatafsiriwaje, wanaitajika watu wanaojua kwanini Russia alibadili mbuni na kuanza kutumia mizinga badala ya kuizunguka miji kwa haraka, kwanini anashambulia makazi ya watu, mashamba na viwanda. Please wajuvi njooni mtupe madini!Russua ameshashinda kitambo sana kwa kumega maeneo ya kimkakati. Uzi ufungwe
Achana naye huyo hivi vitoto vya juzi havijui maana ya Vita ya urusi na NATO wanadhani NATO no Ukraine....simply NATO anasupport tu si unajua adui wa adui yako no rafiki yako!Kuna mwanajeshi yeyote wa NATO aliyopo Ukraine officially?
Unajaribu kuonyesha upo neutral lakini unafeli pakubwa. Unataka maoni wakati tayari una upande unaufeva. Hutaweza kukubali maoni ya upande wa pili.Naheshimu maoni yako ila nisamehe kukuambia hauna ujuzi wowote kuhusu medani, nomeshasema mwanzoni kama huna hoja pita pembeni. Hapa wanaitajika watu wanaojua ushandi wa medani unatafsiriwaje, wanaitajika watu wanaojua kwanini Russia alibadili mbuni na kuanza kutumia mizinga badala ya kuizunguka miji kwa haraka, kwanini anashambulia makazi ya watu, mashamba na viwanda. Please wajuvi njooni mtupe madini!
Mnafiki mkubwa wewe, Taarifa ya CIA ni wanajeshi 15000 wa Russia wameuliwa vitani, nadhani hizi ndio habari njema upendazo.Naheshimu maoni yako ila nisamehe kukuambia hauna ujuzi wowote kuhusu medani, nomeshasema mwanzoni kama huna hoja pita pembeni. Hapa wanaitajika watu wanaojua ushandi wa medani unatafsiriwaje, wanaitajika watu wanaojua kwanini Russia alibadili mbuni na kuanza kutumia mizinga badala ya kuizunguka miji kwa haraka, kwanini anashambulia makazi ya watu, mashamba na viwanda. Please wajuvi njooni mtupe madini!
Personally sina ushabiki napenda kusoma na kujifunza, kumtaja russia haimanishi nime side isipokuwa nimefanya citation kutokana na taarifa tunazopata. Kwa mfano russia kushambulia makazi ya watu ni mbinu ya kutengeneza hofu kwa adui, wakati mwingine anaweza kuchoma mashamba na kuiba nafaka kama njia ya kumlazimisha adui kujisalimisha. Russia wame outgunned ukraine kwa silaha na askari, hapa unaweza kuwasifu ukraine ku hold up defence kwani unaweza kukuta askari mmoja anakabiliana na askari watano wa Russia.Unajaribu kuonyesha upo neutral lakini unafeli pakubwa. Unataka maoni wakati tayari una upande unaufeva. Hutaweza kukubali maoni ya upande wa pili
Haihitajiki kuwa na maarifa kujua Askari wa NATO na kina CIA wapo wanaisaidia waukraine lakini wapo unoficially Kwa sababu kuepuka mgogoro na Russia officially.wakitangaza kuwepo officially maana Yake watatangaza vita officially na Russia.Naheshimu maoni yako ila nisamehe kukuambia hauna ujuzi wowote kuhusu medani, nomeshasema mwanzoni kama huna hoja pita pembeni. Hapa wanaitajika watu wanaojua ushandi wa medani unatafsiriwaje, wanaitajika watu wanaojua kwanini Russia alibadili mbuni na kuanza kutumia mizinga badala ya kuizunguka miji kwa haraka, kwanini anashambulia makazi ya watu, mashamba na viwanda. Please wajuvi njooni mtupe madini!
Sio wanajeshi tu Urusi imekamata mpaka makandama wa ngazi za juu kutoka marekaniKuna mwanajeshi yeyote wa NATO aliyopo Ukraine officially?
Wee jamaa ni kiazi kweli kwaiyo ulifungua Uzi ili upate mawazo ya kinato NATO mjinga kabisa kwaiyo anayeshinda vita ni Nani kama si Ukrein maana maeneo yote ambayo RUSSIA alisema anayataka na kachukua tayri na kaongeza mengineNaheshimu maoni yako ila nisamehe kukuambia hauna ujuzi wowote kuhusu medani, nomeshasema mwanzoni kama huna hoja pita pembeni. Hapa wanaitajika watu wanaojua ushandi wa medani unatafsiriwaje, wanaitajika watu wanaojua kwanini Russia alibadili mbuni na kuanza kutumia mizinga badala ya kuizunguka miji kwa haraka, kwanini anashambulia makazi ya watu, mashamba na viwanda. Please wajuvi njooni mtupe madini!