Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,198
- 7,539
kawaidaNitasoma nikirudi, kwa sasa niko Dubai na "vitu" maalum
Nitasoma nikirudi, kwa sasa niko Dubai na "vitu" maalum
Wewe binafsi umefanya nini?CCM imeipaisha CDM kwa njia zifuatazo:
1. Kwa kuwapiga mabomu mara kwa mara.
2. Kwa kukitamka kila mkutano au matamko ya CCM,
3. Kwa kufanya mauaji ya mara kwa mara (CDM inapata public sympthy),
4. Kwa kuonesha hofu kuwa CDM inaweza kuchukua madaraka,
5. Kwa kutoa utabiri kuwa CDM itakufa huku hakuna lolote linalotokea,,
6. Kwa kupiga propaganda za udini, ukabila na ukanda (hii strategy ilifanikiwa sana kwa upande wa CUF lakini kwa CDM hali ni tofauti sana),
7. Kwa kuwatumia masalia na wasaliti ndani ya CDM ambao hugundulika kirahisi!
8.....
Nijuavyo mimi chama kinamilikiwa na wanachama na hivyo ndivyo inavyotakiwa kuwa.Au mmiliki wa chama anatakiwa kuwa nani kwa uelewa wako? hayo unayoyazungumzia hapo juu inaonesha wazi kwamba tuko pamoja.Kila mtu akiyafanya uliyoyataja hapo juu sasa ndio tunaweza kusema chama ni imara hasa!
Ni kweli kwamba "ni wazo"
ikiwa wazo hili ni zuri na lina manufaa kwa jamii na linatekelezeka basi wajibu wetu ni kuliunga mkono "hili wazo" kulieneza "hili wazo" kulilinda "hili wazo" lakini zaidi sana kuwa tayari kulitekeleza "hili wazo"
Ni kosa kubwa kufikiria kulimiliki "hili wazo"
Watu kama ninyi ni rasilimali watu muhimu sana kwenye chama chenu.Kwa kumjua mkiya josephine
chadema ni hawa apa,yan hali hii
kutokakwenda hadi apa
sasa usaliti wa namna hii alafu nikusikilize unachoniambia,Je nitajuwa ninaakili timamu?
Tuamke waTZ tunadanganywa tu na izi siasa,hakuna aliye uchungu na nchi hii bali wanatafuta namna ya kuuza i nchi
Kesho ni mwaka mpya.Tunaangalia mbele.Yanyuma yatakusaidia nini! wewe jiulize unaanza je mwaka mpya kwa kufanya mambo mazuri zaidi ya yale yaliyopita sio kurudi kinyume nyume.Wakati wazungu walitengeneza computer kubwa, wakaboresha wakapata desk top,muda ulivyoenda wakaibuka na laptop na wanazidi kuporesha kila mwaka, sisi tunawaza tu hivi computer ya kwanza ilikuwa je vile!!Hivi nani alichagua wabunge wa viti maalum Chadema.
Nijuavyo mimi chama kinamilikiwa na wanachama na hivyo ndivyo inavyotakiwa kuwa.Au mmiliki wa chama anatakiwa kuwa nani kwa uelewa wako? hayo unayoyazungumzia hapo juu inaonesha wazi kwamba tuko pamoja.Kila mtu akiyafanya uliyoyataja hapo juu sasa ndio tunaweza kusema chama ni imara hasa!