Nani anapotosha maoni ya Lissu na wengineo?

Nani anapotosha maoni ya Lissu na wengineo?

Huyo Lissu sasa amekuwa kama Mange wa instagram,maana naye imekuwa kila kitu Lissu kasema.
 
Kabla hawajaingia mikataba walishauriwa hivihivi wakabisha,sasa wanakurupuka wanashauriwa na lissu kama kawaida yao wanabisha.sijui maccm wana matatizo gani
 
Huyo Lissu sasa amekuwa kama Mange wa instagram,maana naye imekuwa kila kitu Lissu kasema.

Na hawa je wamekuwa kama nani?

Douglas Lake Minerals Board of Directors and Director of Exploration Appointments

Last update: 3:15 p.m. EDT Aug. 4, 2008

VANCOUVER, Aug 04, 2008 /PRNewswire-FirstCall via COMTEX/ -- Douglas Lake Minerals Inc. (OTC BB: DLKM./ Frankfurt: D6O.F) announced today the appointment of two senior Tanzanian officials to the Board of Directors. Mr. Gus Sangha and Dr. David Groves have stepped down from the Board and the Company thanks them for their valuable assistance during their tenure. Dr. Groves will remain with Douglas Lake as Director of Exploration.

Dr. Medard M.C. Kalemani, LLB, LLM, PhD, Mining Management - Director
Dr. Kalemani is the General Counsel to the Millennium Challenge Account Tanzania, Ministry of Finance, which is an autonomous government entity responsible for managing energy, transportation and water projects in Tanzania. He served as State Attorney of the Tanzanian Ministry of Energy and Minerals from 1999 to 2007, and from 1997 to 1998, he was a Legal Officer and Manager of the Tanzanian Branch of the International Rescue Committee, UNHCR. He was also legal consultant to UNDP Vienna in Tanzania and an independent consultant on a team that reviewed the Minerals Act of the Republic of South Africa. In 2002, Dr. Kalemani authored a thesis titled "Comparative Study of Mineral Laws" which compared laws between Tanzania, South Africa, Namibia and Botswana.

Prof. Abdulkarim Mruma, BSc, MSc, PhD, Geology - Director
Prof. Mruma is the Chief Executive Officer of the Geological Survey of Tanzania, Ministry of Energy and Minerals and since 2004, he is the Vice Chairman of the Association of Geological Survey of Africa. He was the Head of the Department of Geology at the University of Dar es Salaam from 1994 to 2004. Other positions he has held include: National Coordinator, International Geological Correlation Programs; External Examiner, Department of Geology of the University of Nairobi in Kenya and the University of Makerere in Uganda. He also has had extensive involvement as a board and steering committee member of numerous geological and environmental research projects and groups. Prof. Mruma has published over thirty international publications, mainly in the fields of structural geology, precambrian geology, stratigraphy and mineral deposits. He has consulted on and authored more than twenty technical reports in the fields of resource assessments and engineering geology. He is currently a member of the Geological Society of Africa and the Tanzania Geological Society. Prof. Mruma is also a Board Member of Williamson Diamonds Limited, Diamond Mine at Mwadui. The Williamson Diamond Mine is owned by De Beers and the Government of Tanzania.

Dr. David Groves, BSc, PhD, Geology - Director of Exploration
Dr. David Groves, BSc Honours and PhD, started his career working for the Geological Survey of Tasmania. In 1972, he joined the University of Western Australia where he progressed to full Professor by 1987, teaching undergraduate classes in field and structural geology and ore genesis/economic geology. From 1987 to 2005, Dr. Groves was Director of both the Centre for Strategic Mineral Deposits and Centre for Global Metallogeny. During his academic career, he authored and co-authored over 500 papers and is widely published on Archaean evolution, the nature and genesis of komatiite-hosted Ni-Cu and orogenic gold deposits, global metallogeny and conceptual targeting of mineral deposits. He was President of the Geological Society of Australia and the Society of Economic Geologists, and is currently President-Elect of SGA (European Society of Economic Geologists). He has received nine medals for his research, including the Silver Medal of the Society of Economic Geologists and the Geological Association of Canada Medal. Dr. Groves has also been contracted as a consultant to the Geological Survey of Tanzania.

About Douglas Lake
DLKM is an emerging mineral exploration company focused on exploring and developing gold, copper, nickel, uranium, and diamond mining opportunities in Tanzania. For more information, go to www.douglaslakeminerals.com

This release contains forward-looking statements which involve risks and uncertainties. Complete forward-looking statement available at www.douglaslakeminerals.com/forwardlooking.html.
 
GAZETI ameshapatikana. Nawasubiri wengine.
Uzalendo, ubabe, hasira, chuki, siasa, mapenzi mema na hisia zetu nzuri, huruma kwa maskini wa nchi yetu nk haviwezi kuwa mbadala wa ukweli wa sheria. Mwisho wa siku aliyefuata sheria ndiye atakayesimama kidedea bila kujali alitapeli au vipi. Kwa msingi huo namwelewa Lisu.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ambaye alisaini ni nani kama siyo CCM
King , nina maanisha kuwa walio sain ni haohao wana CCM na wanamzunguka na kumshauri raiskama wastafu na pia nimedhauri kinga ya kutoshtakiwa ifutwe ili kila mmoja abebe mzigo wake, ingawa sizani kama rais arakubali kwani naye inaweza muweka matatani kutokana na makandokando yake ya nyuma .
Tusubili wakati ukifika lazima nao watawajibishwa hata baada ya miaka mingi
 
Fikra hizo zatokana na mtazamo wako( wa kijinga) dhidi ya hoja. Badala ya kutafakari hoja ya Lisu unaànza kwanza kutafakàri na kutafsiri lafudhi yake, sauti yake na hata sura yake. Hivi lini tutajikomboa kutokana na ujinga huu? Ni wàjinga tu ndiyo wana mawazo ya kijinga na hawaelewi kàma ñi wajinga
Hivi kwa nini hamuwezi kujenga hoja bila kutukana
 
Kinachonisikitisha mimi kuliko yote ni kitendo cha sisi Watanzania kujadili report ya wakina Mruma kwa hisia kali huku tukiwa hatujajiridhisha kwamba yote yaliyosemwa kwenye ile report yamethibitishwa kuwa ni ya kweli, achilia mbali ukweli kwamba kilichomo kwenye mkataba wa ACACIA na serikali hakuna anayekijua zaidi ya Rais na watu wake wa karibu.

Kamati ya wakina Mruma haikuwa kamati huru; ni kamati iliyoundwa na upande mmoja (mlalamikaji). Msomi hupaswi kuiamini report ya hiyo kamati pasipo independent investigation na kuanza kupoteza muda wako kuijadili sana as if we are sure that all the facts presented in the report are true. Tuna umaskini mkubwa sana wa uelewa.
Ok tufanye report ya Mruma ni ya uongo ya kwako ya kweli iko wapi?
 
Mwenye uzi anam-paint Lissu kuliko mwenye jina anavyojibainisha. Tafadhali agalao mtendee haki kwa kumpa haki yake ya kuchagua rangi.
 
Nimesoma maoni-kauli mbalimbali kuhusu Ripoti ya Kamati ya Prof. Mruma juu ya mchanga wa dhahabu iliyowasilishwa kwa Rais Magufuli.

Kimsingi,watanzania kwa mamilioni yetu,akiwemo Wakili Msomi na Mbunge Tundu Lissu pamoja na wengineo wenye mawazo kama yake,tunakubaliana kuwa Rais ana nia njema.

Tunakubaliana kuwa Rais analinda rasilimali zetu kwa ajili yetu na tupo naye pamoja. Kuna kukubaliana kuwa Rais anafanya kazi ngumu kwakuwa sheria na mikataba ya madini haijakaa sawa

Lissu na wenye mawazo kama yake wamejaribu kutoa tahadhari. Tahadhari za kisheria katika kuvunja au kuathiri mikataba ya madini kati ya Tanzania na wawekezaji wengine. Lissu na wenzake hawajawahi kutamka kumpinga Rais wala kupinga ulindwaji wa rasilimali za taifa

Hakuna mahali ambapo Lissu anazuiwa kutoa mawazo yake juu ya lolote lihusulo taifa letu. Ripoti ya Kamati ya Prof. Mruma imejadiliwa ipasavyo na wanasiasa,wafanyakazi,wafanyabiashara na wananchi wa kawaida. Hadi Mtemi Chenge,Werema na Dr. Kilangi wametoa maoni yao

Kwanini na nani anapotosha maoni ya Lissu na wenye mawazo kama yake? Kwa faida ya nani? Kutoa tahadhari si kupinga wala kuwatetea wawekezaji. Hakuna haja ya kupotosha hata mambo ya kitaifa.
Shida sio kukubali au kukataa anachokisema Mh. Lissu hapana. Tatizo hapa ni namna anavyolizungumzia swala lenyewa ndipo anapokosea na kutia shaka, wakili msoni Lissu! Anatoa ufafanuzi wenye jazba kwa kuwa alishawahi kuwekwa ndani miaka ya nyuma!
Kwa hili mh. Lissu aache jazba na hasira. Kwanza aweke busara mbele kwa maslahi ya Taifa, hakuna namna. Anavyotolea ufafanuzi wa kisheria! Moja kwa moja inaonekana kabisa moyoni mwake anasema afadhali tuone, mi si nilisema siku za nyuma!.
Sasa hamkomoi mtu kwani dudehili la kiuchumi, likitukumba hata yeye familia na hata ukoo wake hautakuwa salama. Hapa ndiyo tungependa! Yale makeke na majigàmbo yake kwamba anajua sheria, ndiyo ilikuwa kipindi chake cha kukunjua makucha. Tanzania ya kwetu sote, wala siyo ya Magufuli au ya Lissu, bali ni ya watanzania wote! Mungu ibariki Tanzania na watu wake. Amen!.
 
Siku yakitimia na tuwakumbusha kuwa tulishauri ifanyike hivi na hamkusikia, watasema tunafurahia serikali kushindwa na kwamba sisi si wazalendo.

Kuishi nchi hii huenda ni vigumu kuliko kuishi Jehanamu.
Mbona huamii huko jehanamu? Usitoe kauli za kuiga. We changia hoja kistaatabu ndiyo asili ya watanzania.
 
Nimesoma maoni-kauli mbalimbali kuhusu Ripoti ya Kamati ya Prof. Mruma juu ya mchanga wa dhahabu iliyowasilishwa kwa Rais Magufuli.

Kimsingi,watanzania kwa mamilioni yetu,akiwemo Wakili Msomi na Mbunge Tundu Lissu pamoja na wengineo wenye mawazo kama yake,tunakubaliana kuwa Rais ana nia njema.

Tunakubaliana kuwa Rais analinda rasilimali zetu kwa ajili yetu na tupo naye pamoja. Kuna kukubaliana kuwa Rais anafanya kazi ngumu kwakuwa sheria na mikataba ya madini haijakaa sawa

Lissu na wenye mawazo kama yake wamejaribu kutoa tahadhari. Tahadhari za kisheria katika kuvunja au kuathiri mikataba ya madini kati ya Tanzania na wawekezaji wengine. Lissu na wenzake hawajawahi kutamka kumpinga Rais wala kupinga ulindwaji wa rasilimali za taifa

Hakuna mahali ambapo Lissu anazuiwa kutoa mawazo yake juu ya lolote lihusulo taifa letu. Ripoti ya Kamati ya Prof. Mruma imejadiliwa ipasavyo na wanasiasa,wafanyakazi,wafanyabiashara na wananchi wa kawaida. Hadi Mtemi Chenge,Werema na Dr. Kilangi wametoa maoni yao

Kwanini na nani anapotosha maoni ya Lissu na wenye mawazo kama yake? Kwa faida ya nani? Kutoa tahadhari si kupinga wala kuwatetea wawekezaji. Hakuna haja ya kupotosha hata mambo ya kitaifa.

Wanapotosha wale wachovu wa kufikiri ambao % kubwa ya akili zao zinashikiliwa hapo Lumumba, wamebakishiwa kiduchu tu za kusifia na kuabudu mawazo ya mabosi wao.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kwa hiyo wewe serikali ikikwama(japo mi sio ccm) au ikitokea tukapata hiyo dhiki we utapata faida gani labda?
Nimeshindwa kukuelewa, yaani nchi ipate dhiki Mimi nipate faida? Mimi ndio nchi yenyewe! Naogopa dhiki, ndo maana nawaunga mkono wanaosema tujiepushe na dhiki zisizo na sababu.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Na mimi ni Mtanzania pia.

Tofauti kati yangu mimi na wewe na Magufuli ni hii: Mimi nimepigania nchi yangu katika masuala haya tangu mwaka '99.

Wakati huo tulikuwa na mgodi mmoja tu wa dhahabu, Resolute Golden Pride Nzega. Bulyanhulu ilikuwa haijajengwa. Geita ndio kwanza walikuwa wanafukuza wanakijiji wa Mtakuja.

Nadhani nilikuwa wa kwanza katika nchi hii kupiga yowe kwamba tutaibiwa sana kwenye sekta ya madini.

Wewe sijui ulikuwa wapi wakati huo. Najua Magufuli alikuwa wapi: upande wa MaCCM na wawekezaji hawa.

Nimepigana na wawekezaji hawa mahakamani, kwenye medani ya kisiasa ndani na nje ya nchi hii kwa zaidi ya miaka 15. Nimetetea wananchi completely free of charge Bulyanhulu, Tarime, Nzega, Geita, n.k.

Sijui wewe ulikuwa wapi lakini najua Magufuli alikuwa upande wa nani: wa MaCCM na wanyonyaji hawa.

Soma Rai ya tarehe 17 Julai, 2001, uone tulimwambia nini Mkapa siku anaenda kuzindua Mgodi wa Bulyanhulu.

Sijui ulikuwa wapi lakini najua Magufuli alikuwa wapi: alikuwa anatetea tumbo lake na matumbo ya wanyonyaji hawa.

Nilikamatwa na kushtakiwa kwa uchochezi kwa sababu ya Bulyanhulu. Hiyo ilikuwa December 2002. Nilikaa na kesi hiyo mahakamani Kisutu kwa miaka sita.

Sijui ulikuwa wapi ila najua Magufuli alikuwa wapi: upande wa watesi wa wananchi na wanyonyaji wa rasilmali zetu.

Leo Magufuli anajifanya mzalendo na anahoji uzalendo we yeyote anayepingana nae.

Ni muongo. Anatafuta umaarufu wa kisiasa kwa wasiojua na wasiokumbuka. Ataupata. Kwa siku chache tu. Mark my words: ataumbuka na mtaumbuka.

Mimi ninampinga hadharani. Sio mnafiki, na sijahongwa. Ninampinga kwa sababu atatusababishia matatizo makubwa zaidi kuliko tuliyonayo sasa.

Huo mchanga atauachia upelekwe ambako umepelekwa kwa miaka 16 iliyopita. Kama sheria ndiyo hiyo na mikataba ndiyo hiyo hana pakwenda.

Tatizo ninaloliona ni kwamba by the time anawarudishia mchanga wao, Tanzania itakuwa imekuwa a basket case kama Zimbabwe.

Na tutakuwa tumelipishwa mapesa mengi kama fidia na arbitral tribunals za kimataifa kwa kuvunja mikataba na wawekezaji hawa.

Kama kuna anayefikiri uzalendo ni kufumbia macho masuala haya basi huyo na amuunge mkono Magufuli kwenye upofu wake wa kujitakia.

Ripoti ya Prof. Mruma haitamaliza hata nusu saa under serious scrutiny. Zaidi ya majina ya maprofesa walioiandaa, ripoti hii haina credibility yoyote. Ni kazi ya kisiasa iliyopakwa rangi ya usomi.

Kama umefuatilia taarifa za kitaalamu za Bulyanhulu hata kabla ya Barrick Gold kuingia mwaka '99 utajua ninasema nini.

Sutton Resources, Outukumpu Oy na hata STAMICO walishafanya utafiti mkubwa juu ya utajiri wa Bulyanhulu. Taarifa zipo na zimekuwepo kwa hata mbumbumbu wa jiolojia ya madini kama mimi.

Hiki alichoambiwa Magufuli ni rubbish, hata kama ni ya kiprofesa. Rubbish. Hatuibiwi kwenye mchanga, that's the rubbish fed on the unlettered.

Tunaibiwa kwenye sheria. Kama hamuoni hilo then God have mercy on us.
Kaongea vizuri tuaibiwa kwenye mikataba tuliosaini
 
Nimeshindwa kukuelewa, yaani nchi ipate dhiki Mimi nipate faida? Mimi ndio nchi yenyewe! Naogopa dhiki, ndo maana nawaunga mkono wanaosema tujiepushe na dhiki zisizo na sababu.
Nyie watu sio watanzania,kwanza nani kawaambia tutalipishwa?mna uhakika gani? Au kwa kuwa Lisu kasema? Usiwaamini wanasiasa mkuu.huyohuyo alikwambia Lowasa ni fisadi na leo huyohuyo anakwambia Lowasa ni kamanda sio fisadi.tumia akili yako uliyopewa na Mungu,wewe sio mbuzi wala Punda upekeshwe akili
 
Nimesoma maoni-kauli mbalimbali kuhusu Ripoti ya Kamati ya Prof. Mruma juu ya mchanga wa dhahabu iliyowasilishwa kwa Rais Magufuli.

Kimsingi,watanzania kwa mamilioni yetu,akiwemo Wakili Msomi na Mbunge Tundu Lissu pamoja na wengineo wenye mawazo kama yake,tunakubaliana kuwa Rais ana nia njema.

Tunakubaliana kuwa Rais analinda rasilimali zetu kwa ajili yetu na tupo naye pamoja. Kuna kukubaliana kuwa Rais anafanya kazi ngumu kwakuwa sheria na mikataba ya madini haijakaa sawa

Lissu na wenye mawazo kama yake wamejaribu kutoa tahadhari. Tahadhari za kisheria katika kuvunja au kuathiri mikataba ya madini kati ya Tanzania na wawekezaji wengine. Lissu na wenzake hawajawahi kutamka kumpinga Rais wala kupinga ulindwaji wa rasilimali za taifa

Hakuna mahali ambapo Lissu anazuiwa kutoa mawazo yake juu ya lolote lihusulo taifa letu. Ripoti ya Kamati ya Prof. Mruma imejadiliwa ipasavyo na wanasiasa,wafanyakazi,wafanyabiashara na wananchi wa kawaida. Hadi Mtemi Chenge,Werema na Dr. Kilangi wametoa maoni yao

Kwanini na nani anapotosha maoni ya Lissu na wenye mawazo kama yake? Kwa faida ya nani? Kutoa tahadhari si kupinga wala kuwatetea wawekezaji. Hakuna haja ya kupotosha hata mambo ya kitaifa.



Mbona ccm siku zote walikuwa wakijivuna wanafanya vizuri na hakuna chama kinachoweza kufanya mambo makubwa wanayoyafanya, je hii mikataba mibovu ndio mambo makubwa waliyofanyia wananchi?
 
Back
Top Bottom