Nani anapotosha maoni ya Lissu na wengineo?

Kinachonisikitisha mimi kuliko yote ni kitendo cha sisi Watanzania kujadili report ya wakina Mruma kwa hisia kali huku tukiwa hatujajiridhisha kwamba yote yaliyosemwa kwenye ile report yamethibitishwa kuwa ni ya kweli, achilia mbali ukweli kwamba kilichomo kwenye mkataba wa ACACIA na serikali hakuna anayekijua zaidi ya Rais na watu wake wa karibu.

Kamati ya wakina Mruma haikuwa kamati huru; ni kamati iliyoundwa na upande mmoja (mlalamikaji). Msomi hupaswi kuiamini report ya hiyo kamati pasipo independent investigation na kuanza kupoteza muda wako kuijadili sana as if we are sure that all the facts presented in the report are true. Tuna umaskini mkubwa sana wa uelewa.
 
Mkuu tatizo kubwa la Lisu ni kama anaombea serikali ishindwe,yaani hata ukisikiliza anavoongea utagundua mawazo yake.
Kama anaombea tu, hilo sio tatizo maana maombi hayatapokelewa, kuna watanzania wengi tu hawaamini maombi, ni suala la "nadharia" zaidi. Tatizo ni fact za kisheria anazotoa, hatuoni mwanasheria mzalendo yeyote akizipinga kisheria, hata wanasiasa wazalendo ( yaani ccm na msemaji wake polepole), hatuoni wakitoa ufafanuzi, kila mzalendo yuko hoi kwa Hoja za lisu (sio maombi)

Hata mwanasheria mzalendo Werema nae kyupi imembana, sasa sisi wakulima maamuma lazima tutajua kuna MTU kakurupuka, anataka kutuletea dhiki zisizotarajiwa.
 
Nimesoma maoni-kauli mbalimbali kuhusu Ripoti ya Kamati ya Prof. Mruma juu ya mchanga wa dhahabu iliyowasilishwa kwa Rais Magufuli.

Kimsingi,watanzania kwa mamilioni yetu,akiwemo Wakili Msomi na Mbunge Tundu Lissu pamoja na wengineo wenye mawazo kama yake,tunakubaliana kuwa Rais ana nia njema.

Tunakubaliana kuwa Rais analinda rasilimali zetu kwa ajili yetu na tupo naye pamoja. Kuna kukubaliana kuwa Rais anafanya kazi ngumu kwakuwa sheria na mikataba ya madini haijakaa sawa

Lissu na wenye mawazo kama yake wamejaribu kutoa tahadhari. Tahadhari za kisheria katika kuvunja au kuathiri mikataba ya madini kati ya Tanzania na wawekezaji wengine. Lissu na wenzake hawajawahi kutamka kumpinga Rais wala kupinga ulindwaji wa rasilimali za taifa

Hakuna mahali ambapo Lissu anazuiwa kutoa mawazo yake juu ya lolote lihusulo taifa letu. Ripoti ya Kamati ya Prof. Mruma imejadiliwa ipasavyo na wanasiasa,wafanyakazi,wafanyabiashara na wananchi wa kawaida. Hadi Mtemi Chenge,Werema na Dr. Kilangi wametoa maoni yao

Kwanini na nani anapotosha maoni ya Lissu na wenye mawazo kama yake? Kwa faida ya nani? Kutoa tahadhari si kupinga wala kuwatetea wawekezaji. Hakuna haja ya kupotosha hata mambo ya kitaifa.
HAMTAKOSA LA KUSEMA MAANA ACACIA WANA NGUVU YA AJABU - KWELI NDIO MAANA JPM ALISEMA VITA YA KIUCHUMI NI KUBWA SANA: TUTASHINDA
 
Kama anaombea tu, hilo sio tatizo maana maombi hayatapokelewa, kuna watanzania wengi tu hawaamini maombi, ni suala la "nadharia" zaidi. Tatizo ni fact za kisheria anazotoa, hatuoni mwanasheria mzalendo yeyote akizipinga kisheria, hata wanasiasa wazalendo ( yaani ccm na msemaji wake polepole), hatuoni wakitoa ufafanuzi, kila mzalendo yuko hoi kwa Hoja za lisu (sio maombi)

Hata mwanasheria mzalendo Werema nae kyupi imembana, sasa sisi wakulima maamuma lazima tutajua kuna MTU kakurupuka, anataka kutuletea dhiki zisizotarajiwa.
Kwa hiyo wewe serikali ikikwama(japo mi sio ccm) au ikitokea tukapata hiyo dhiki we utapata faida gani labda?
 
Nimesoma maoni-kauli mbalimbali kuhusu Ripoti ya Kamati ya Prof. Mruma juu ya mchanga wa dhahabu iliyowasilishwa kwa Rais Magufuli.

Kimsingi,watanzania kwa mamilioni yetu,akiwemo Wakili Msomi na Mbunge Tundu Lissu pamoja na wengineo wenye mawazo kama yake,tunakubaliana kuwa Rais ana nia njema.

Tunakubaliana kuwa Rais analinda rasilimali zetu kwa ajili yetu na tupo naye pamoja. Kuna kukubaliana kuwa Rais anafanya kazi ngumu kwakuwa sheria na mikataba ya madini haijakaa sawa

Lissu na wenye mawazo kama yake wamejaribu kutoa tahadhari. Tahadhari za kisheria katika kuvunja au kuathiri mikataba ya madini kati ya Tanzania na wawekezaji wengine. Lissu na wenzake hawajawahi kutamka kumpinga Rais wala kupinga ulindwaji wa rasilimali za taifa

Hakuna mahali ambapo Lissu anazuiwa kutoa mawazo yake juu ya lolote lihusulo taifa letu. Ripoti ya Kamati ya Prof. Mruma imejadiliwa ipasavyo na wanasiasa,wafanyakazi,wafanyabiashara na wananchi wa kawaida. Hadi Mtemi Chenge,Werema na Dr. Kilangi wametoa maoni yao

Kwanini na nani anapotosha maoni ya Lissu na wenye mawazo kama yake? Kwa faida ya nani? Kutoa tahadhari si kupinga wala kuwatetea wawekezaji. Hakuna haja ya kupotosha hata mambo ya kitaifa.
Naona umetumwa sio bure, taratibu mmeanza kujisafisha baada ya kuona hoja zenu zinapwaya kwa kasi kubwa.
 
Ccm mwezi mzima wamebanwa kwenye kona.wanapkea za uso.manuundu yamewatoka, midomo inevimbA.kujitete hawawezi wanaongea pumba.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Siku yakitimia na tuwakumbusha kuwa tulishauri ifanyike hivi na hamkusikia, watasema tunafurahia serikali kushindwa na kwamba sisi si wazalendo.

Kuishi nchi hii huenda ni vigumu kuliko kuishi Jehanamu.
Ukirudi kutoka Jehanamu utakuwa na mtazamo tofauti kabisa na nchi hii.
Safari njema.
 
Mkolomije lazima kabeba siri nzito sana maana huku kumkingia kifua huyu jambazi na muhuni hakuingii akilini hata chembe.

Kama ameshindwa kumuondoa Bashite na Gambo atawaweza Mkapa na JK?
 
Nimesoma maoni-kauli mbalimbali kuhusu Ripoti ya Kamati ya Prof. Mruma juu ya mchanga wa dhahabu iliyowasilishwa kwa Rais Magufuli.

Kimsingi,watanzania kwa mamilioni yetu,akiwemo Wakili Msomi na Mbunge Tundu Lissu pamoja na wengineo wenye mawazo kama yake,tunakubaliana kuwa Rais ana nia njema.

Tunakubaliana kuwa Rais analinda rasilimali zetu kwa ajili yetu na tupo naye pamoja. Kuna kukubaliana kuwa Rais anafanya kazi ngumu kwakuwa sheria na mikataba ya madini haijakaa sawa

Lissu na wenye mawazo kama yake wamejaribu kutoa tahadhari. Tahadhari za kisheria katika kuvunja au kuathiri mikataba ya madini kati ya Tanzania na wawekezaji wengine. Lissu na wenzake hawajawahi kutamka kumpinga Rais wala kupinga ulindwaji wa rasilimali za taifa

Hakuna mahali ambapo Lissu anazuiwa kutoa mawazo yake juu ya lolote lihusulo taifa letu. Ripoti ya Kamati ya Prof. Mruma imejadiliwa ipasavyo na wanasiasa,wafanyakazi,wafanyabiashara na wananchi wa kawaida. Hadi Mtemi Chenge,Werema na Dr. Kilangi wametoa maoni yao

Kwanini na nani anapotosha maoni ya Lissu na wenye mawazo kama yake? Kwa faida ya nani? Kutoa tahadhari si kupinga wala kuwatetea wawekezaji. Hakuna haja ya kupotosha hata mambo ya kitaifa.
 
Nimesoma maoni-kauli mbalimbali kuhusu Ripoti ya Kamati ya Prof. Mruma juu ya mchanga wa dhahabu iliyowasilishwa kwa Rais Magufuli.

Kimsingi,watanzania kwa mamilioni yetu,akiwemo Wakili Msomi na Mbunge Tundu Lissu pamoja na wengineo wenye mawazo kama yake,tunakubaliana kuwa Rais ana nia njema.

Tunakubaliana kuwa Rais analinda rasilimali zetu kwa ajili yetu na tupo naye pamoja. Kuna kukubaliana kuwa Rais anafanya kazi ngumu kwakuwa sheria na mikataba ya madini haijakaa sawa

Lissu na wenye mawazo kama yake wamejaribu kutoa tahadhari. Tahadhari za kisheria katika kuvunja au kuathiri mikataba ya madini kati ya Tanzania na wawekezaji wengine. Lissu na wenzake hawajawahi kutamka kumpinga Rais wala kupinga ulindwaji wa rasilimali za taifa

Hakuna mahali ambapo Lissu anazuiwa kutoa mawazo yake juu ya lolote lihusulo taifa letu. Ripoti ya Kamati ya Prof. Mruma imejadiliwa ipasavyo na wanasiasa,wafanyakazi,wafanyabiashara na wananchi wa kawaida. Hadi Mtemi Chenge,Werema na Dr. Kilangi wametoa maoni yao

Kwanini na nani anapotosha maoni ya Lissu na wenye mawazo kama yake? Kwa faida ya nani? Kutoa tahadhari si kupinga wala kuwatetea wawekezaji. Hakuna haja ya kupotosha hata mambo ya kitaifa.

Kimsingi kuna wachache wanao taka kuficha ukweli kupitia mgongo wa kisiasa na hawa ndio watu wabaya hasa.Kwa kificho cha usiasa na uchama wana mwaminisha rais kisichokua ndicho kua ndicho na mpaka aje kustuka mambo yamesha Haribika itabakia kuwa lisu alisema.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mkuu tatizo kubwa la Lisu ni kama anaombea serikali ishindwe,yaani hata ukisikiliza anavoongea utagundua mawazo yake.
Kama umeanza kumsikiliza jana sawa. Ila kama unajua alianza late 90s na haya makitu utakubaliana nae kuwa yupo nasisi wananchi
 
  • Thanks
Reactions: SDG
matatizo yote yanayotokea sasa kuhusu madini yamesababishwa na ccm na wabunge wake......mengine ni blah blah tu
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Nimesoma maoni-kauli mbalimbali kuhusu Ripoti ya Kamati ya Prof. Mruma juu ya mchanga wa dhahabu iliyowasilishwa kwa Rais Magufuli.

Kimsingi,watanzania kwa mamilioni yetu,akiwemo Wakili Msomi na Mbunge Tundu Lissu pamoja na wengineo wenye mawazo kama yake,tunakubaliana kuwa Rais ana nia njema.

Tunakubaliana kuwa Rais analinda rasilimali zetu kwa ajili yetu na tupo naye pamoja. Kuna kukubaliana kuwa Rais anafanya kazi ngumu kwakuwa sheria na mikataba ya madini haijakaa sawa

Lissu na wenye mawazo kama yake wamejaribu kutoa tahadhari. Tahadhari za kisheria katika kuvunja au kuathiri mikataba ya madini kati ya Tanzania na wawekezaji wengine. Lissu na wenzake hawajawahi kutamka kumpinga Rais wala kupinga ulindwaji wa rasilimali za taifa

Hakuna mahali ambapo Lissu anazuiwa kutoa mawazo yake juu ya lolote lihusulo taifa letu. Ripoti ya Kamati ya Prof. Mruma imejadiliwa ipasavyo na wanasiasa,wafanyakazi,wafanyabiashara na wananchi wa kawaida. Hadi Mtemi Chenge,Werema na Dr. Kilangi wametoa maoni yao

Kwanini na nani anapotosha maoni ya Lissu na wenye mawazo kama yake? Kwa faida ya nani? Kutoa tahadhari si kupinga wala kuwatetea wawekezaji. Hakuna haja ya kupotosha hata mambo ya kitaifa.
Maoni yake ni ya kuwagwaya mno wezi,ya kioga na yakipotoshaji.Soma maoni ya Maftah Nachuma mbunge Mtwara mjini(CUF) uone.
 
Back
Top Bottom