Nani anaowaongoza hasa?

Ndevu mbili

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
379
40
Habari JF!
Naomba nisaidiwe kujua hil:
Hivi Rais wa Nchi anaongoza nani?
Maana kuna....
-Wajinga
-Wasomi
-Watoto
-Wazee
-Vijana
...............
...............
Nawasilisha!
 
Anaongoza wote pamoja na wewe sasa jiulize uko kwenye type gani kati ya hizo ulizotaja,utapata jibu.
 
nakubaliana na wewe ktk comment yako ni kweli Raisi Mh. Jakaya Mrisho Kikwete ni Raisi wetu sote kwa wale wote walio mchagua na wale ambao hawakumchagua, sasa nina wasiwasi na mtoa mada kama ana uwelewa mzuri au ndo yupo kwenye mkakati wa kutugawa watanzania, kimsingi ni vyema hii generation ya vijana tukafikiri ni namna gani tunaweza kuweka misingi bora katika taifa rather than starting threads zenye kila hila ya kumwaga sumu, my take, tumeifanyia nini tanzania ili tuianze kuidai itufanyie nini?
 
Woow!
This is wonderful.
Kila kitu Tz ndio upeo wako?
 
Mhhh!
Sijui kama umeelewa topic?
Great Thinker nisaidieni kujuaaaaaa!

Inawezekana hujui Rais ni kiongozi gani, sema tukusaidie.
Au la una lako jambo ambalo unatafuta watu wa kulisema.
Great Thinker haogopi kuwa muwazi, fafanua ueleweke usifiche mengine nyuma ya pazia
 
Nisaidie kumjua!
Maana nina maswali mengi kichwani yananisumbua.
Hakuna jingine ni kujua tu!
Pia nimeweka wazi maswali yangu !
 
Ndevumbili umeandika lugha gani? mana mi naelewa lugha ya taifa.
 
Back
Top Bottom