Nani anaogopwa hapo?

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
487213_263062610465392_1065997636_n.jpg
 
mkapa kwa umbea sijui anasikiliza nini mwenzie anataka kutiwa bakora na ticha
 
Mtizame Warioba alivyokaa mbali na mikono kaweka nyuma sijui hapo anafikiria atajibu nini ikifika zamu yake...

I lishawahi kukoswakoswa kuchapwa viboko na mwailimu alivyowaita Ikulu wakati walivyoanzisha mgomo chuo yeye na wakina Sitta. Anamuelewa Mwalimu vizuri sana. Hakuna kucheka cheka hapo!
 
hahahaaaaa,nimecheka mpaka basi.Jamaa kapigwa biti mpaka kanywea.Hii inaoneka ilikua noma maana mwl kavua hadi miwani.kapeti hapo nyuma utafikiri imesukwa kwa nuzi za nailoni.Ila ka Ben kametoka super sana,kanasikilizia biti la mwenzie.
 
Back
Top Bottom