Nani ananipenda?

Nani ananipenda?

akirudi nyumbani watoto hawana raha kutokana na ukali wake na kupiga makelele bila sababu za msingi
 
najua hapendi ndugu zako hapendi wewe ukiwasomesha najua sana
 
kwema mkuu,naona uzi unaupeleka vizuri
Hahahahahaaaa Level imenibidi nicheke mwenyewe duh
Jamaa kaamua kuukunjua mwenyewe wala hataki usaidizi ahahahaaaaa very fun
 
Last edited by a moderator:
ukimaliza mistar yako niambie nikujibu kama nakupenda au vipi.
 
Back
Top Bottom