Jonatus
JF-Expert Member
- Dec 16, 2013
- 1,403
- 379
Huyo mzee Majambo wako.........alikuwepo Tanzania nzima akiuza karanga.........?.........
Ha ha ha kweli bora umeuliza...wanavyosema ni as if alikuwa anapita Tanzania nzima kuuza karanga
Huyo mzee Majambo wako.........alikuwepo Tanzania nzima akiuza karanga.........?.........
Hahaha kwa wale waliyokulia magetini, obay, masaki, mikocheni hawajui khsu mzee hyu ila kwa sisi tuliyokulia uswazi kinondoni shamba tunampata vilivyopita hehehe
Hahaha kwa wale waliyokulia magetini, obay, masaki, mikocheni hawajui khsu mzee hyu ila kwa sisi tuliyokulia uswazi kinondoni shamba tunampata vilivyopita hehehe
Mi mtoto wa mama?
Unacheza wewe.....
Hahahaha..yule mzee hata kama ulikuwa kikojozi lazima uache,aisee alikuwa ananipa nightmares mbaya sana,sana sana alikuwa kinondoni ndio alikuwa anapita mara kwa mara......
Mkuu mm nmekulia kino shamba alikuwa anapita sana hadi mitaa kino mjini....ilikuwa shida kwa watoto vokojozi
kwa ufupi wote waliomuogopa walikuwa vikojozi akiwemo mtoa mada bila shaka!unaruhusiwa kukanusha #MurukulazoDah,umenikumbusha mbali sana kiongozi,alikuwa pia ni kiboko ya vikojozi!!
Preta hii sio yenu wa mikoani au wakuja.....hii yetu watoto wa dar tuliozaliwa uswazi! majambo noma,nilikuwa nikimsikia anakuja lazima nikajifiche uvungu wa kitanda!
Duh!!! poleni wa Dar...kwani na wewe ulikuwa kiko...zi???
Nauliza tu maana hapo juu imesemwa alikuwa kiboko yao watoto vikojozi...
kama humjui wee pita tu......waliokulia dar miaka tisini kurudi nyuma acha wajikumbushe......!
Sijui kama bado yupo hai yule mzee......i wish i could bring the 90s and 80s back...!!
Alikuwa anakaa Mwananyamala A karibu na baa ya Segwa, alikuwa anauza karanga na vinyago vyake vya kutisha. Na Dimdimu je??