Nani anamiliki Internet? (WHO OWNS INTERNET):

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,196
Reaction score
96,315
Nani anamiliki Internet3? For an expert in modern communication technology ie.digital communication Seems a silly question, but take your time to think about it!
Dictatorial governments normally switch off internet! TCRA can switch off the internet ! Who Owns internet?
Is it possible to have internet tunneling?
 
Hakuna mtu mmoja anayemiliki Internet.

Internet ni mtandao mkubwa wa dunia unaounganisha mamilioni ya mitandao midogo. Umiliki na uendeshaji wake umegawanywa kwa mashirika mengi tofauti duniani.

Kwa ufupi:

1. Miundombinu (Fiber, satelaiti, minara)
Inamilikiwa na makampuni binafsi kama:

AT&T, Verizon

Google, Meta

Huawei, MTN, Vodacom, Airtel
na wengine.

2. IP Address na majina ya tovuti
Yanaratibiwa na shirika lisilo la kiserikali:

ICANN (Internet Corporation for Assigned Names and Numbers)

3. Viwango na sheria za teknolojia
Yanatolewa na mashirika ya kimataifa kama:

IETF

W3C

4. Serikali
Nchi zinaweza kudhibiti matumizi ndani ya mipaka yao, lakini hazimiliki internet.

Kwa hiyo:
Internet ni mfumo wa pamoja uliotengenezwa na mashirika, kampuni na serikali mbalimbali, sio mali ya mtu mmoja.
 
Asante sana. Gateway ya internet ni MBs ( kama sijakosea). Nani anagawa/anamiliki MBs?
Pili hao players nwote uliowataja wanalipwaje? Nauliza hivyo kwa sababu mlango mkubwa wa.kuinhia internet mi MBs. Who Owns MBs or Who dishes out MBs?
Can these companies mentioned by you circumvent TCRA
 
Of course kuingia goggle lazima uwe na internet connectivity, sasa nani aliwaruhusu TCRA kuwa na mamlaka ya kukata internet? Can these companies mentioned by TIASSA circumvent TCRA
Ccm na Polisi wao ndio huwapa mamlaka hao TCRA.
 
Of course kuingia goggle lazima uwe na internet connectivity, sasa nani aliwaruhusu TCRA kuwa na mamlaka ya kukata internet? Can these companies mentioned by TIASSA circumvent TCRA
TCRA ni nini?
 
Hakuna mtu mmoja anayemiliki Internet.

Internet ni mtandao mkubwa wa dunia unaounganisha mamilioni ya mitandao midogo. Umiliki na uendeshaji wake umegawanywa kwa mashirika mengi tofauti duniani.

Kwa ufupi:

1. Miundombinu (Fiber, satelaiti, minara)
Inamilikiwa na makampuni binafsi kama:

AT&T, Verizon

Google, Meta

Huawei, MTN, Vodacom, Airtel
na wengine.

2. IP Address na majina ya tovuti
Yanaratibiwa na shirika lisilo la kiserikali:

ICANN (Internet Corporation for Assigned Names and Numbers)

3. Viwango na sheria za teknolojia
Yanatolewa na mashirika ya kimataifa kama:

IETF

W3C

4. Serikali
Nchi zinaweza kudhibiti matumizi ndani ya mipaka yao, lakini hazimiliki internet.

Kwa hiyo:
Internet ni mfumo wa pamoja uliotengenezwa na mashirika, kampuni na serikali mbalimbali, sio mali ya mtu mmoja.
Thanks AI
 
Nani anamiliki Internet3? For an expert in modern communication technology ie.digital communication Seems a silly question, but take your time to think about it!
Dictatorial governments normally switch off internet! TCRA can switch off! Who Owns internet?
Is it possible to have internet tunneling?
Wanafunzi watu wa vyuo na mainjinia wamelala sana.

Kutengeneza Satellite uplinks and down links ni rahisi sana

Kwenye maandamano yaliyopita walizima internet kwenye switch kabisa, may be waliogopa kuwa hacked
 
S

Sio rahisi hivyo, kwanza gharama za equipments,kwa sababu zinahitaji very powerful transmitters,amplifiers na large antennas,pia lazima kuwe na regulations kutoka TCRA hapo ndo changamoto
 
Hakuna mtu mmoja anayemiliki Internet.

Internet ni mtandao mkubwa wa dunia unaounganisha mamilioni ya mitandao midogo. Umiliki na uendeshaji wake umegawanywa kwa mashirika mengi tofauti duniani.

Kwa ufupi:

1. Miundombinu (Fiber, satelaiti, minara)
Inamilikiwa na makampuni binafsi kama:

AT&T, Verizon

Google, Meta

Huawei, MTN, Vodacom, Airtel
na wengine.

2. IP Address na majina ya tovuti
Yanaratibiwa na shirika lisilo la kiserikali:

ICANN (Internet Corporation for Assigned Names and Numbers)

3. Viwango na sheria za teknolojia
Yanatolewa na mashirika ya kimataifa kama:

IETF

W3C

4. Serikali
Nchi zinaweza kudhibiti matumizi ndani ya mipaka yao, lakini hazimiliki internet.

Kwa hiyo:
Internet ni mfumo wa pamoja uliotengenezwa na mashirika, kampuni na serikali mbalimbali, sio mali ya mtu mmoja.
Kama hakuna mmiliki, kwanini tunalipia kupata huduma?
 
S

Sio rahisi hivyo, kwanza gharama za equipments,kwa sababu zinahitaji very powerful transmitters,amplifiers na large antennas,pia lazima kuwe na regulations kutoka TCRA hapo ndo changamoto
Si kweli mtaalam, transiver za Satellite ni sawa na gps modules, changamoto ni hivi Mataifa mengi yanazuia uuzwaji wa satellite transiver... Zipo kadhaa masokoni
 
S

Sio rahisi hivyo, kwanza gharama za equipments,kwa sababu zinahitaji very powerful transmitters,amplifiers na large antennas,pia lazima kuwe na regulations kutoka TCRA hapo ndo changamoto
1000155065.webp

Mfano hii ni Iridium transiver, kwa Tanzania ni kama dola 103. If someone can do proper research anapata much cheaper China.

Kingine satellite ground station zipo open sources nyingi ambazo unaweza kutumia kusambaza data zako kutoka specific satellites na kwenda kwenye internet
 
Back
Top Bottom