Nani anamiliki hiki kifaa?

Nani anamiliki hiki kifaa?

Haya makitu ni noma jombaa yameisha watoa uhai makumi elfu wanaoyamiliki.
 
Eti baruti weka sikio usikie mlio wake
 
Huwa naikodisha ila sikupi RISASI, kama unataka nitafute.
 
Ujue lugha imekua mkuu, neno 'kifaa' lina maana nyingine tofauti na hiyo picha uliyotuwekea!
 
hata sitamani kuimiliki, maana wanaomiliki hazijawahi kuwasaidia zaidi ya kujiua wenyewe.

Trainer wangu aliniambia hii lugha ukiisikia ujue huyo asemaye ana uoga wa kuzaliwa!!!!!!!!
 
Hiyo ni bastola ya kupigia baruti tu (blanks) na haiwezi kumdhuru mtu. Nimejua hivyo kwa kuangalia hizo risasi zake ambapo ncha ya risasi ni ndogo sana na haina chuma
Heshima nyingi sana mkuu!!!!!

Mkuu blaks ni cartridge au firing tool????!!!!!
 
Hiyo ni bastola ya kupigia baruti tu (blanks) na haiwezi kumdhuru mtu. Nimejua hivyo kwa kuangalia hizo risasi zake ambapo ncha ya risasi ni ndogo sana na haina chuma

Samahani, awali nilisoma post kwenye simu hivyo sikuona picha vizuri. Hizo ni risasi za kawaid na sio blanks.
 
...

...kama mkasi wa kukatia majani vile!!!


n7_eagle_heavy_pistol_by_faustus70-d51i7bp.jpg

Hii nayo ni pistol? Makubwa!!!!!

Tiba
 
Back
Top Bottom