Nani anamiliki hiki kifaa?

Ngekua nayo hii ngeshamlipua ------ flani hivi hapa mtaani.
 
Mkuu ni bora kufa masikini koliko kuwa nayo hiyo kitu na mbeli kiiza mauti nyumma
 
Ni pm nikuazime..ushanifahamu
 

Attachments

  • 1398546808201.jpg
    42 KB · Views: 723
  • 1398546829476.jpg
    59.6 KB · Views: 680
Mie huwa nawashia moto nikiwa sina kiberiti nkitaka kupika lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hiii kitu kama una hasira usiwe nayo maana siku ukikuta mtu kachepuka waweza mpiga risasi kwenye papuchi
 
m namiliki sema risasi zake znatokea nyuma ya n ya kipekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…