Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,774
Mimi ninavyoelewa Mb's/Gb's ni kipimo/ujazoData.sawa chief nimekuelewa!! Kwahy tuseme kuna kampuni nchi fuln hiv inayotengeneza M-B,GBs hlf wanaziuza kwa kampuni za simu kweny nch tofauti? Au mfn halotel, ni kwamba wao ndy wanatengeneza M-Bs,GBs? Hapo mimi ndy nataka kujua tuu
Kwa hiyo unaponunua kifurushi unapangiwa kiwango cha vitu( data) utakavyofungua kulingana na hela uliyolipa. Wauzaji wanaweza kutofautiana bei kama biashara nyingine.
Ila swali kubwa ni hili:
NI NANI MMILIKI WA CONNECTOR YA DIVISES ZOTE ZINAZODEAL NA INTERNET?