kisokolokwinyo20
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 472
- 422
Naomba Majibu Yenu Wakuu Kwa Anayefahamu/Kujua Mmiliki Wa Hizi Data Ambazo Ukikosa Huwezi Kuunganishwa Na Mtandao Wa Intaneti?
Internet ni muunganiko wa computers, so hakuna mmiliki wa data zote labda kuna makampuni yanayotengeneza miundombinu ya kuunganisha comp kama seacom nakadhalikaNaomba Majibu Yenu Wakuu Kwa Anayefahamu/Kujua Mmiliki Wa Hizi Data Ambazo Ukikosa Huwezi Kuunganishwa Na Mtandao Wa Intaneti?
Dadavua zaidi mkuuInternet ni muunganiko wa computers, so hakuna mmiliki wa data zote labda kuna makampuni yanayotengeneza miundombinu ya kuunganisha comp kama seacom nakadhalika
mfano itunes ni store ya mziki so mmiliki wa hiyo store ni apple na data zilizomo, facebook social network ana servers ambazo zina data za watumiaji kwa mmiliki wa data hizo ni facebook, jamiiforums wana servers zao ambazo zimebeba data za jamiiforums mmiliki ni jamiiforums n.kn.k kwa mantiki hiyo hakuna mmiliki wa data zote za internet kwakuwa internet ni muunganiko wa computers (servers) ila kuna wamiliki wa miundo mbino zinazowesha hizo servers kuwasiliana mfano seacom na fibre optic cable yao n.k n.kDadavua zaidi mkuu
Data unamanisha internet kama hiyo marekani ndio wenye nayo. Wamiliki wa mtandao nao wanauziwa speed au bandwidth ndio wanayugawia sisi kwa mtindo wa vifurushi vya gb na mb.Naomba Majibu Yenu Wakuu Kwa Anayefahamu/Kujua Mmiliki Wa Hizi Data Ambazo Ukikosa Huwezi Kuunganishwa Na Mtandao Wa Intaneti?
Need I say mo?? Hili ndiyo jibuNetwork ni muunganiko wa computer mbili au zaidi ili ziweze kuwasilian pamoja na kuweza kubadilishana malighafi. Kuna aina nne za network nazo ni
1.Personal network
2.Local area network (LAN)
3.Metropolitan area network (MAN)
4.Wide area network (WAN)
Internet ni mojawapo ya WAN inayojulikana na watu wengi. Kwa hivyo Internet ni muunganiko wa computer ili kuweza kuwasiliana na kubadilishana malighafi. Kwa hiyo hakuna mmiliki wa internet lakini kuna wasimamizi wa miundombinu inayowezesha mawasiliano haya ya computer ambao wanajulikana kama Internet Service Provider (ISP). Kwa Tanzania ISP mkubwa ni TTCL ambae anawauzia hawa wadogo wengine kina Vodacom, Tigo, Airtell na wengineo.
Kwa Tanzania TTCL. Vipi kwa Dunia nzima?Network ni muunganiko wa computer mbili au zaidi ili ziweze kuwasilian pamoja na kuweza kubadilishana malighafi. Kuna aina nne za network nazo ni
1.Personal network
2.Local area network (LAN)
3.Metropolitan area network (MAN)
4.Wide area network (WAN)
Internet ni mojawapo ya WAN inayojulikana na watu wengi. Kwa hivyo Internet ni muunganiko wa computer ili kuweza kuwasiliana na kubadilishana malighafi. Kwa hiyo hakuna mmiliki wa internet lakini kuna wasimamizi wa miundombinu inayowezesha mawasiliano haya ya computer ambao wanajulikana kama Internet Service Provider (ISP). Kwa Tanzania ISP mkubwa ni TTCL ambae anawauzia hawa wadogo wengine kina Vodacom, Tigo, Airtell na wengineo.
Mkuu anaemiliki internet ni NASA.. Sina uhakika ila naweza kusema ni WA-MAREKANI(US) na sahivi nimesikia RUSSIA wanataka watengeneze yakwao kwa kuhofia siku Moja MAREKANI watazima internet yao