lu lu lu lu luuuuuuu
my sis is the best
And you are the BESTEST lol....Ki english kigumu usinicheke
Najua vigelegele vimepitia kinywani kwa amri ya moyo. LOVE YOU sana my Arabela.
COPY: Mzee wa Rula Filipo Lily Flower PakaJimmy Kaizer Mwalimu.
Kipende chako shem wa ukweeee
hahaha kigumu kweli sis.angalia usijejing'ata
Kina Ben Saanane, Chimbuvu, Baba V nakdhalika wana hela....mabepari wa MUJINI watanifunga kwa gharama yoyote.....naogopaaaaa
Mtani KOKUTONA sasa nimeanza kuiona picha kwa mbaaaaaliiii!
Mi nilijua kamanda Ben Saanane ndiye anakamua maziwa, Chimbuvu nilisikia ashatupwa kule na Baba V ni mwenyekiti wa kigango anasubiri tu kuwafungisha ndoa!
hahaha kigumu kweli sis.angalia usijejing'ata
This weekend Kaizer atakuwa Korogwe.....hajakwambia? Mwaaalimu....