Kila siku umeng'ang'ana maharage, unadhani utaona.
Kongosho ni dume, sasa sijui kama ametumia mchina ili kuyakuza masabuli yake.
We acha alafu kuna watu huwa wanashobokea avatar za watu yanayo wakuta huko mmmh
Umeona eeh! Ukienda kule mmu ndo utajua jinsi watu wanavoathirika na hizi avatar, utasikia ooh alipofika getini akaanza kupiga cm, mara cm yangu ikaanza kuita, nilipomuona alivyo nikasepa lol!Chezea avatar weye!
Mzima lakini
Hahaha JF bana ni burudani sana