Nani anamfahamu mwenye namba hii 0769779533?

Nani anamfahamu mwenye namba hii 0769779533?

Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
3,211
Reaction score
996
Habari,
Kuna mtu anatumia namba hiyo hapo juu, kila nikipiga hapokei, namba hii ilikuwa yangu iliibiwa pamoja na simu yangu yapata miezi 3 iliyopita cha ajabu tangu jana nikipiga inapatikana lakini mhusika hataki kupokea simu, nimfanyaje?
 
Jamani mbona unauliza swali la ajabu? Mwenye hiyo namba si ni wewe mwenyewe? Huyo anayeitumia sasa hivi ni mwizi tu!!! Kama kweli namba ni ya kwako baada ya line kuibiwa pamoja na simu ulichukua hatua gani? Je ulikuwa umeisajili hiyo namba? Kama kweli ni ya kwako just go and block it!!! Period!!! Jamani si kila kitu lazima kiletwe hapa JF!!!

Tiba
 
Habari,
Kuna mtu anatumia namba hiyo hapo juu, kila nikipiga hapokei, namba hii ilikuwa yangu iliibiwa pamoja na simu yangu yapata miezi 3 iliyopita cha ajabu tangu jana nikipiga inapatikana lakini mhusika hataki kupokea simu, nimfanyaje?

Nenda kwenye kampuni ya namba hiyo watakwambia yuko wapi maana minara yote inaonekana ni wapi. then kama kuna kuna ushirikiano wa kutosha na kampuni yenye namba hiyo wanaweza kum-trace
 
Nenda kai-block namba ameiweka hewani hili aweze kuwapiga(kuwaibia) jamaa zako wataokupigia...
 
  • Thanks
Reactions: kbm
MDADA: Unakunywa pombe?
MKAKA: Hapana
MDADA: Unavuta?
MKAKA: Hapana
MDADA: Una mademu?
MKAKA: Hapana MDADA: Sasa unajichanganyaje na washkaji?
MKAKA: Mi muongo ile mbaya
 
anzia police kabla ya yote,na kama unataka simu itabidi gharama ztumike lakini kama simu huitaki karenew lain yako na automatically aliyonayo itaji block. pia unaweza kaa kimya yapata mwezi mmoja na kisha ukarenew lain yako na pale unaweza kumpata kupitia watu watakaokuwa wanamtafuta.
 
  • Thanks
Reactions: kbm
Ya 1st lady iyo,endelea kumpigia mwenye chake aku-Ulimboka.
 
Kinachoshangaza hapa ni kuwa line hii (0769779533) wakati inapotea nilikuwa nimei-pin yaani mtu akiipiga itaaandika ''Call ended'' muda wote utaona kama sipatikani ila mimi naweza kukupigia, naweza kukutumia sms pia unaweza kunitumia sms pia (kama unajuwa), sasa namba ninayotumia sasa 0769****** wakati nikiwa sihitaji kupigiwa wala kupiga simu nilikuwa nikii-divert kwenda 0769779533 hivyo ukinipigia kwa namba yangu ya sasa ungeweza kujibiwa ''call ended'', Muda wote nimeishi hivyo kama miezi 2 iliyopita. Sasa juzi (14/12/2012) wakati namba yangu ya sasa ikiwa iko kwenye diversion; mke wangu alinipigia simu, kwa kawaida ilikuwa aitikiwe: ''Call ended'', lakini cha ajabu simu yangu iliita katika 0769779533 na aliyekuwa na simu yenye namba hiyo alipokea na kusema yupo na mimi bar tunakunywa pombe. !!!

Mke wangu alipaniki sana ilikuwa tuachane au lingetokea lingine, nyie mliooa na mkapendana mnajuwa. Niliporudi nyumbani haraka nikapiga namba hiyo 0769779533 (maana nilijuwa alinipata kupitia hiyo kwakuwa namba yangu ya sasa nilikuwa nimeidivert kwenda namba hii); alipokea mwanamke anasauti kama ya mtu mwenye wasiwasi na aliyekuwa akitetemeka: Nikamuuliza; Jina lako ni nani?; alikataa kutaja jina lake muda wote. Nikamuuliza upo wapi?; akanijibu nipo Sengerema Mwanza na nilipomhoji zaidi amepata vipi namba yangu hiyo ya zamani na kwa nini ametamka maneno ya uongo kwa mke wangu; aliitikia muulize huyo huyo Mama yako. Mama yangu mzazi yupo mbali sana na nilipo mimi ila nina mama wa kazini kwangu (Mke wa bosi).

Maswali ni mengi sana hapa kuliko majibu.
Lakini namwamini tu Mungu.
 
Wewe utakuwa nawe ni mwizi.jamaa zako wamekuzunguka 1 unasema line yako ulii pin swali kwanini uipin unaogopa nani na kwanini ui divert? 2 unasema wewe ni mwanaume wakati line yako ni ya mary auma je wewe ni mwanamke au mwanaume? Wewe mwambie ukweli mke wako hiyo line unajua kabisa ilipo kama kweli wewe sio mwizi kwanini huku swap ili uendelee kuwa hewani? Kwa nini tena una line zaidi ya moja tena za kampuni moja vodacom.
 
Back
Top Bottom