Nani anamfahamu John Legend

Nani anamfahamu John Legend

iron finger

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
358
Reaction score
221

John Legend ni gwiji wa mziki toka USA ambaye ni mtunzi na mwimbaji mahiri wa nyimbo za blues.Ni moja kati ya wanamuziki wanaoweza kukufanya utabasamu kwa tungo zake mwanana zenye ujumbe na kubembeleza pia hasa pale unapokuwa na simanzi moyoni iwe ni ya mapenzi au maisha.

Kwa sasa anaweza kuwa ndiye mtunzi anaeongoza kwa mashairi ya nyimbo tamu mpaka kufikia hatua ya rais wa Marekani Obama kujitangaza hadharani kuwa ni shabiki mkubwa wa John.

Mnamo mwaka 2007 alialikwa kutumbuiza katika sherehe za ufunguzi wa mkutano wa chama cha Democratic na kuwakonga Maseneta na Magavana kwa kibao kikali cha "if you're out there".

Sio katika nchi ya Marekani tu bali hata mabara ya EUROPE,ASIA na AFRICA John Legand ana mashabiki kibao wa nyimbo zake nikiwemo mimi.

Baadhi ya nyimbo za legend ninazopenda ni TONIGHT,ALL OF YOU,ORDINARY PEOPLE na SAVE ROOM.

Nani anampenda Legend?

Karibuni
 
Last edited by a moderator:
Kumbe wewe jamaa sometimes unaongea mambo ya maana eeh? Kuna siku niliona post yako MMU........basi tu!
Anyways, I like John Legend.
 
MY BEST SONG FROM J.LEGEND.
"Used To Love U"
La La La
La La La
Maybe, it's me, maybe i bore u
No no, it's my fault, cos i can't afford u
Maybe baby, puffy, jay z
would all be better for u
Cos all i can do is luv u
Baby when i used to luv u
Theres' nothing that i wouldn't do
I went thru the fire for you, do anything you asked
me to
But i tired of livin this lie
It's getting harder to justify
Realised that i just don't luv u
Not like i used to
La la la
la la la
Maybe, i should rob somebody
So we could, live like whitney and bobby
It's probably my fault, my bad, my loss
But u are, above cost
Cos all i could do was luv u
Baby when i used to luv u, theres' nothing that i
wouldn't do
I went thru the fire for you, do anything you asked
me to
But i'm tired of living this lie
It's getting harder to justify
Realised that i just don't luv u
Not like i used to
Hola hola hola
Hola hola hola
Do you remember when i used to luv u
Baby no not any more, luv u
Ooohhhh, I luv u
And you're gonna miss me now
Baby when i used to luv u
There's nothing that i wouldn't do,
I went thru the fire for u, and i'm not gonna play
the fool
No i can't live this life, and i can't justify, and i
can't make up my life
Cos i don't luv u
Not like i used to do
Hola hola hola
Hola hola hola
Oh i used to luv u
Oh i used to luv u
Oh but I don't luv u
Oh but I don't luv u
Oh but you're gonna miss me now
Baby when i used to luv u, theres' nothing that i
wouldn't do
I went thru the fire for you, do anything you asked
me to
But i'm tired of living this lie
It's getting harder to justify
Realised that i just don't luv u
Not like i used to
la la la
la la la
Oh i used to luv u
Oh i used to luv u
Oh but I don't luv u
Oh but I don't luv u
Oh but you're gonna miss me now
Oh but I don't luv uuuuuuuuuuu
 
I've known the best before him....

But hes gud.
 
Sijawahi kumpenda shoga yoyote yule so nawaachieni nyinyi na obama wenu muendelee kuwapa promo machoko
 
Sijawahi kumpenda shoga yoyote yule so nawaachieni nyinyi na obama wenu muendelee kuwapa promo machoko
Wacha wee? John Legend ni shoga?
Uwiiiii, sina habari! Ila nitachunguza hili bado sijaamini.
 
Sijawahi kumpenda shoga yoyote yule so nawaachieni nyinyi na obama wenu muendelee kuwapa promo machoko

Ww itakua una psychological conflict, yaani kila mtu kwako ww ni shoga sio????? Think like a man.
 
Uyo ni Moto wa Petrol mkuu Hashikiki ni sheeedeee....
 
jamaa namkubali sana nilishawai kukaa nae kwa night moja mafia tukawa marafiki mala nyingi huwa anaishi zanzibar yeye anasema kule ndio kwao kwani mala nyingi huwa zaznzibar na pia jamaa inawezekana amejenga kwani kuna siku tulikutana town akaniambia yupo dar kwa mapumziko

ashawai kuja mafya tukanywa sana pale mapoz pub karibu na kilindon tanpesca nikampa lifti ya boti mpaka kilwa akapanda hiace za mbagara akaenda zake dar ila sijaonana nae siku nyingi.

ni mtu wa ukweli jamaa hata willy smith alimshangaa wakati kaja bongo kumkuta jamaa hana mlinzi wala nini anaingio hotel wakati yeye waaandishi wa habali wanamzonga yeye ndio alisababisha nimsalimie will alipokuja bongo co walikua hotel moja jamaa jamaa yangu sana sema ni long time hatujawasiliana.

huwa anatembea bongo na zenji na watu huwa hawamjui huyu mbajuni wa unguja hanaga makuu.
 
Jamaa anajua kucheza na sauti yake, kucheza na melody na Piano he is great………!!
 
Wacha wee? John Legend ni shoga?
Uwiiiii, sina habari! Ila nitachunguza hili bado sijaamini.

Wasanii wengi wa America ni Bisexuals, wakina Dirty money, Treysongs etc.
 
huyu jamaa ni mkali sana,album yake ya evolver huwezi sogeza mbele nyimbo
 
Naipenda sana hii nyimbo na ile ya green light pamoja na ordinary people.
 
jamaa namkubali sana nilishawai kukaa nae kwa night moja mafia tukawa marafiki mala nyingi huwa anaishi zanzibar yeye anasema kule ndio kwao kwani mala nyingi huwa zaznzibar na pia jamaa inawezekana amejenga kwani kuna siku tulikutana town akaniambia yupo dar kwa mapumziko

ashawai kuja mafya tukanywa sana pale mapoz pub karibu na kilindon tanpesca nikampa lifti ya boti mpaka kilwa akapanda hiace za mbagara akaenda zake dar ila sijaonana nae siku nyingi.

ni mtu wa ukweli jamaa hata willy smith alimshangaa wakati kaja bongo kumkuta jamaa hana mlinzi wala nini anaingio hotel wakati yeye waaandishi wa habali wanamzonga yeye ndio alisababisha nimsalimie will alipokuja bongo co walikua hotel moja jamaa jamaa yangu sana sema ni long time hatujawasiliana.

huwa anatembea bongo na zenji na watu huwa hawamjui huyu mbajuni wa unguja hanaga makuu.

Inaweza kuwa kweli maana kuna video yake moja kashootia zenji.

Anaonekana muungwana saana J.Legend.m
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom