Nani anamfadhili mtu huyu?

Nani anamfadhili mtu huyu?

Hao ndio waliomshambulia makamu lazima.
Makamu yupi mkuu? Maana rekodi zinasema makamu wote wa vyama viwili vikuu vya siasa nchini wamesha shambuliwa.
Mmoja kwa risasi nyingi lakini Mola akakataa kabisa kuwa hafi.
Mwingine akawekewa sumu dose ya kumuua Ngamia au tembo lakini naye Mola akasema NO.
Wote hao anatajwa mzito mmoja kujua mipango hiyo na kuifadhili na ndio maana Mamboleo kaishia kupiga biti na kuufyata.
Usiku mwema.
 
Kama alikua na vijana wa idara basi ni wazi anafadhiliwa na idara. Idara ina mwajiri mmoja tu, ambaye ni mkurugenzi mkuu wa idara.

Kama hana baraka zao wangesha mzima kitambo sana, hata kama angekua na baraka za mkuu wa nchi.
Mkurugenzi wa Idara anateuliwa na mkuu wa nchi. Ukisikia agizo kutoka juu ujue ni kutoka Chato.

Hao ma DG wote ni wachumia tumbo, hawawezi kumshauri lolote Meko zaidi ya kujichekesha chekesha tu
 
Kweli mkuu, nakumbuka nilipokuwa Mzumbe nikisolve DIFFERENTIAL EQUATION.., CALCULUS NA PROBABILITY II..halafu leo naongozwa na washamba na malimbukeni naumia sana!

"TATIZO LA NJI HII, TUMERUHUSU AKILI NDOGO KUONGOZA AKILI KUBWA..." Mhe. Rev. Msigwa- MB CHADEMA- Iringa Mjini.
 
Swali langu: Mwanaharakati huyu huru anatumiwa na nani? Nani anamlea? Tunalipeka wapi Taifa?
Acha majungu
Umeajuaje kama hao watu wanne ni kutoka idara nyeti?
Pia kumbuka serikali inaweza kufanya kazi na.mwanaharakati yoyote ikiwa tu kazi hiyo ni kwa maslahi mapana.ya nchi
 
Wakashuka watu 6 wakachangamshwa kidogo kipolisi, wakarushwa kichura na kupelekwa pembeni. Watu hawa walikutwa na bastola 3. Wakajitambulisha wakiwa na Kiongozi wao ambaye ni ‘Mwanaharakati Huru’ akifuatana na vijana 4 kutoka idara nyeti, pamoja na dereva wao.
Aisee umeandika kijinga sana
 
Aliyesoma story ya kiapo cha jasusi... Atajua huyu ni nani.. .

Wanasema kazi ya uchapishaji wa gazeti ni geresha tu.. . Ila ni msaidizi wa bas***e kwenye Shughuli zetu zile... UKitaka kumjua vizuri hebu mtumie hata wezi watano tu kama hutorudishiwa maiti...

HUYO MTU SIO MTU MWEMA KABISA...

USISHANGAE HATA HILO JINA SIO LAKE HALISI NI LA KUTUNGA TU. ..
 
Mwanaharakati Huru ameenda kufanya nini kwa JASUSI MBOBEZI? Aende Mwibara akapambane na MNENGUAJI.
 
Huu ndiyo ile tunaita "mfumo nje ya mfumo".....?
 
Jana (Juni mosi, 2020) majira ya saa 8 Mchana, gari aina ta Prado ya rangi ya kijivu T304 DHK likiwa na watu 6 ndani yake lilizuiliwa kwenye ‘Barrier’ ya mjini Lindi karibu na Shule ya Sekondari ya Lindi baada ya Polisi kupata ripoti kuwa gari hilo lilikuwa linakwenda kasi na kukataa kusimama kwenye vizuizi vyote vya Traffic.

Gari hilo lilizuiwa na Lorry lililokuwa na askari polisi wenye silaha. Wakaambiwa washuke wakiwa na mikono juu.

Wakashuka watu 6 wakachangamshwa kidogo kipolisi, wakarushwa kichura na kupelekwa pembeni. Watu hawa walikutwa na bastola 3. Wakajitambulisha wakiwa na Kiongozi wao ambaye ni ‘Mwanaharakati Huru’ akifuatana na vijana 4 kutoka idara nyeti, pamoja na dereva wao.

‪Walipoulizwa walikuwa wanakwenda wapi, waliwaambia maafisa wa Polisi kuwa walikuwa wanakwenda Ruangwa kwa Waziri Mkuu. Walipoambiwa kuwa mbona hayupo, wakadai wana kazi wanakwenda kufanya.‬

Nzi wetu aimefuatilia nyendo zao na kubaini hata ofisi ya PM haina taarifa zao!

Swali langu: Mwanaharakati huyu huru anatumiwa na nani? Nani anamlea? Tunalipeka wapi Taifa?
12/October/2021 kuna jambo lake mahakamani.
 
Back
Top Bottom