Nani anamfadhili mtu huyu?

Nani anamfadhili mtu huyu?

Mwanaharakati huru anajulikana anayemtuma ndio maana alikuwa na vijana wa vitengo. Yaani hiyo jana tayari mipango yao imekwama tungesikia kuna mtu katoweka na watu wasiojulikana.
 
POTI unazingua ujue?
Huyo mwanaharakati huru umepata bahati ya kukutana naye na ukamwacha aende?
Poti umezingua sana mwanangu!

Hiyo kitimoto unaishikisha adabu, uchura chura hautoshi, na hao waseng# wenzake wanaojikuta untouchable.
Maana hii idara yetu nyeti inachafuliwa na wapuuzi wachache wanaotumika na wanasiasa waseng#.
Wanatumikia matumbo yao hapa utawalaumu tu
Njaa haina aibu.
 
Mjue ujasusi wa kidola na wa kitaifa!wakidola haufuati sheria kama wakitaifa!!ndo mana jiwe kaandaa ujasusi huu kumsaidia kwenye uharamia!!!!KIGOGO 2014 WHERE ARE U???
 
Hapa tulipo fika ni hakika tupo kwenye kingo ya mto wenye mamba wakali na wenye njaa
 
Pamoja na kupekuliwa na kutaifisha baadhi ya pesa zake za kifisadi bado tu anafanya yale yale basi Jiwe alifanya senema na bado anamfadhiri jamaa kufanya uhalifu.

Mkuu mahaba na jiwe yamezidi. Utakuwa na Shida sana. Embu funguka. Mana Siasa tu tena za kiafrika mtu hawezi kuwa anaumwa ugonjwa wa dozi Kumtaja mkuu wa nchi.
 
Jana (Juni mosi, 2020) majira ya saa 8 Mchana, gari aina ta Prado ya rangi ya kijivu T304 DHK likiwa na watu 6 ndani yake lilizuiliwa kwenye ‘Barrier’ ya mjini Lindi karibu na Shule ya Sekondari ya Lindi baada ya Polisi kupata ripoti kuwa gari hilo lilikuwa linakwenda kasi na kukataa kusimama kwenye vizuizi vyote vya Traffic.

Gari hilo lilizuiwa na Lorry lililokuwa na askari polisi wenye silaha. Wakaambiwa washuke wakiwa na mikono juu.

Wakashuka watu 6 wakachangamshwa kidogo kipolisi, wakarushwa kichura na kupelekwa pembeni. Watu hawa walikutwa na bastola 3. Wakajitambulisha wakiwa na Kiongozi wao ambaye ni ‘Mwanaharakati Huru’ akifuatana na vijana 4 kutoka idara nyeti, pamoja na dereva wao.

‪Walipoulizwa walikuwa wanakwenda wapi, waliwaambia maafisa wa Polisi kuwa walikuwa wanakwenda Ruangwa kwa Waziri Mkuu. Walipoambiwa kuwa mbona hayupo, wakadai wana kazi wanakwenda kufanya.‬

Nzi wetu aimefuatilia nyendo zao na kubaini hata ofisi ya PM haina taarifa zao!

Swali langu: Mwanaharakati huyu huru anatumiwa na nani? Nani anamlea? Tunalipeka wapi Taifa?
Porojo
 
Funeral??
Hizi fasihi ni shiidaah!

Everyday is Saturday........................... 😎
 
Back
Top Bottom