Nani anakumbuka chupi za VIP?

Ukirudi miaka ya nyuma zaidi utaikuta ile maarufu yenye lebo ya chuma/shaba ikiwa na picha ya bastola iliyoandikwa 007, remember?

Story Kiduchu,
Suppose uko airport na unakaguliwa, pale kwenye final checking point utapitaje?
 
......Leo Tushare Experience juu ya Hizi chupi, ambazo Ziliingia Tz Miaka ya Themanini Hivi.....Muonekano zina Rangi rangi nyingi Sana, na pia Zinabana Sana,
Hizi chupi zimewalemaza Sana wanaume muonekano wa mizigo yao, lazima mdau yoyote aliyevaa hizi Ndude lazima Mzigo upinde, either Upinde kuelekea kushoto au Kulia,
Pia Hizi chupi Lazima Katikati zikatike, na inakulazimu kushona Mara kwa Mara.
Tatu zinakawaida ya kupanda juu zenyewe zikikatika, Usipokuwa makini waweza zikuta zimefika Shingoni. Hahahahahahahaha

#NYIE VIJANA WAKATI HUO HAKUNA BOXER WALA NN?
......Ukikosa VIP Basi wewe ndo Mchovu.

Share ur experience about this shiit Chupi.
 
Nazikumbuka sana hizo chupi ingawa nilikuwa mdogo [wait...am I not like 65 years old?? Teh teh].

Nilikuwa naziona kwa wajomba.

Sikubahatika kuzivaa.
 
Ebu bandikamo kapicha basi mkuu wangu sie wengine tumekuta Gucci tu.

Kidoooogo zile za TMK wanaume
 
Nilizivaa Sana yaan pu..mbyu likibana mpaka uingize mkono kutyatua gia na kuzipanga upya Sasa kipindi kile tupo S/Msingi tunacheza mpira kumbe imekatika jion tunarudi hme kushtuka kitu kimepanda Hadi kwapwani kimetulia Kama sidiria alafu tupo na wadau nikavua shati kuwaonyesha Hali ilivyo ilikuwa kicheko balaaaaa!!
 
Hahahahhaha Hata Mimi Pia, Mara kibao naikuta Shingoni kaka
 
Chupi unavaa tu vizuri ukichezacheza kidogo unaikuta iko tumboni au kifuani
 
.
images(6).jpeg
 
Samahani ndugu wajumbe, leo nilikua kwenye jumuiya.
Naomba kuwasilisha....
images.jpeg
 
Back
Top Bottom