Nani anajua mbinu za kupata free YouTube?

Hizo loopholes nadhani bado hazifungwa .. Laiti ungejua kifurushi changu cha Internet nnachotumia hivi sasa ...wala usingediriki kusema mitandao imekua janja..
Wacha ninyamaze.
ok mkuu kumbe kuna mabus yanayotembea bado,kama hutojali naomba ni kupm.
 
Hizo loopholes nadhani bado hazifungwa .. Laiti ungejua kifurushi changu cha Internet nnachotumia hivi sasa ...wala usingediriki kusema mitandao imekua janja..
Wacha ninyamaze.
Mkuu tupeane mafekeche basi nije bobo nn au
 
Kweli kabisa ..kun wadau wanateleza kimya kimya na Unlimited data
Yes tupo makin sana kwa alie na ujanja wa kupata freenet au free youtube naomba aje sap au PM tuyajenge 0756 695846.
 
Unajishughulisha na nini baada ya kumaliza masters?
swali zuri sana na hasa linakuja kwa kuwa jamaa kajipambanua kuwa anayo! hivyo watu wanataka kulinganisha thamani ya elimu aliyonayo na hicho anachotaka kuiba kwa wengine waliotumia ujuzi wao kuweka.
lakini pia wanataka kujua kama kuna output ya maana kwa elimu iliyowekezwa kwa jamii na kwa mtu binafsi.
 
Acheni roho mbaya na uchoyo tupo watu wengi tinahitaji hiyo huduma sio lazima awe anaihitaji yy jmn anaefaham anicheki pm tuyajenge.
 
kilichohojiwa sio huduma ila shule na shughuli anayofanya.
 
Hizo loopholes nadhani bado hazifungwa .. Laiti ungejua kifurushi changu cha Internet nnachotumia hivi sasa ...wala usingediriki kusema mitandao imekua janja..
Wacha ninyamaze.
akikutafuta we mtoe tu pesa, hamna namna
 
Hizo loopholes nadhani bado hazifungwa .. Laiti ungejua kifurushi changu cha Internet nnachotumia hivi sasa ...wala usingediriki kusema mitandao imekua janja..
Wacha ninyamaze.
mkuu unapoendea utaalisha kumbuka hao unaowasema wameacha loopholes wapo umu chunga sana lizka hapo upatapo kwa mwenye nia ya hayo mambo jua atachimba atapata kama ulivyopata wewe
 
Mwaka 2013 nikiwa chuo kikuu kimoja jina kapuni katika kumalizia Masters yangu tulimpata jamaa mmoja jina limenitoka,alikuja na mpango mzuri wa kuunganisha Free Yotube streaming bila gharama yeyote.
Nimekumbuka namna nilipata unafuu wa kujifunza online vitu mbali mbali kupitia huduma hiyo.
Jf hawashindwi kitu, nimekumbuka youtube ree streaming , kama kuna mtaalamu yeyeote kwnye hili basi atuelekeze ..

Nakumbuka alikua anacheza na Http
jaribu hii! https://free.youtube.com
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom