Nani anajua mbinu za kupata free YouTube?

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,062
Reaction score
3,280
Mwaka 2013 nikiwa chuo kikuu kimoja jina kapuni katika kumalizia Masters yangu tulimpata jamaa mmoja jina limenitoka,alikuja na mpango mzuri wa kuunganisha Free Yotube streaming bila gharama yeyote.
Nimekumbuka namna nilipata unafuu wa kujifunza online vitu mbali mbali kupitia huduma hiyo.
Jf hawashindwi kitu, nimekumbuka youtube ree streaming , kama kuna mtaalamu yeyeote kwnye hili basi atuelekeze ..

Nakumbuka alikua anacheza na Http
 
Unajishughulisha na nini baada ya kumaliza masters?
 
Ngoja nijionee ya dunia mie. Dunia ina mengi sana aisee.
 
mitandao ya simu wamekuwa wanjanja, siku hizi loopholes zote wamezifunga
hii ni kwa sababu mbongo hawezi kula na kipofu.
Hizo loopholes nadhani bado hazifungwa .. Laiti ungejua kifurushi changu cha Internet nnachotumia hivi sasa ...wala usingediriki kusema mitandao imekua janja..
Wacha ninyamaze.
 
Hii mbinu unayo taka kuitumia hapa ilikuwa zamani ya kujitwalia mademu...
 
Hizo loopholes nadhani bado hazifungwa .. Laiti ungejua kifurushi changu cha Internet nnachotumia hivi sasa ...wala usingediriki kusema mitandao imekua janja..
Wacha ninyamaze.
unataka kupata totoz kwa hii trick
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom