Nani anaipata clouds tv kwenye star times?

Nani anaipata clouds tv kwenye star times?

deo paul555

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2018
Posts
1,405
Reaction score
529
Habar wadau,Chanel tajwa hapo juu siioni kwenye kisimbuzi changu huko wenzangu kulikoni?
 
Siku ya tatu leo siioni clouds tv katika king'amuzi cha startimes ,tatizo nini?
 
Hivi kuna kipindi kipi kizuri clouds 🤔
 
Jarbu kuangalia WASAFI TV uta ikuta clouds uko ime jificha
 
Kingamuzi changu cha Startime Chanel ya clouds haimo kuanza Jana mchana hivi ni kwa wote haisomi clouds
 
Habar wadau,Chanel tajwa hapo juu siioni kwenye kisimbuzi changu huko wenzangu kulikoni?
Mie Jana asubuhi nimetizama clouds live, lakini kufika mchana hio Jana, siku ya moto Moro nikataka nione urushaji wao wa matukio nikaona empty 497 haipo WAMENIUDHI
 
Back
Top Bottom