Nani anaifahamu hii

Zamaulid

JF-Expert Member
May 25, 2009
18,663
13,488
Nimeiona sehemu lakini nikiwapigia hawapikei. Anayeifahamu aniwekee data zake hapa. Ahsante
IMG-20190309-WA0004.jpeg
IMG-20190309-WA0006.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Machi 7, 2019
Wakurugenzi wa Mawasiliano –
NETC, MC, SNC, WTC, GBTF, RVTF,
ECT, SEC, SHC, CTF, LTF
YAH: SDA DISH, KISIMBUZI CHA MATUMAINI
Ninaandika barua kufuatia kusambaa kwa tangazo linalotambulisha kisimbuzi
kinachojulikana kama SDAdish na simu nyingi zilizopigwa kwangu kutaka ufafanuzi
juu ya jambo hilo.
Barua hii inawajulisha kuwa, Kanisa la Waadventista wa Sabato Tanzania na Taasisi
yake ya vyombo vya habari (Tanzania Adventist Media Channels) sio wamiliki wa
kisimbuzi hicho.
Kanisa halitahusika na matatizo yoyote yakiwa pamoja na ya kisheria, kiufundi na
mengine yeyote.
Wasalaam,
DIRECTOR
Tanzania Adventist Media Channels
PO BOX 77170
MIKOCHENI B
DAR ES SALAAM, TANZANIA
+255 759 503 520
stationmanager@morningstartv.or.tz
www.morningstartv.or.tz
Mch. Christopher Ungani,
Mkurugenzi, Tanzania Adventist Media Channels

Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
 
Asante mchungaji

Back
Top Bottom