Nani anagharamia matumizi ya Lema, Msigwa na Mbowe huko Nairobi?

Kama wangekuwa Tz pia ungehoji kwa nini hawajaenda kuwa karibu na mgonjwa ili wamtie moyo apone haraka?????wabongo huwa hatukoswi la kunena.
 
Hivi mtoa post umewahi kufika hata Nairobi ujue gharama za kuishi hapo?? Hao wabunge waliopo huko are not paupers to the extent of failing to afford and accomodate their lives there at Nairobi.Acha mawazo ya kimaskini mkuu.Nairobi sio Los Angeles hadi washindwe kuishi na wala hawatumii michango inayochangwa.FYI hao wabunge nao wamechangia vya kutosha tuu kwenye michango inayokusanywa.
 
Habari Wanajamvi,

Kwanza natanguliza pole na kumtakia mema Kamanda wetu Tundu Lissu. Lakini najaribu kufikiri kwanini Msigwa na Lema bado wako Nairobi?

Kwa gharama za nani? Kama za kwao kwanini wasirudi nyumbani kisha hizo fedha wachangie kwenye matibabu?

Tena lile jopo limeambatana na Wake na wenza wao, WHY?

Yawezekana na wao ni sehemu ya matumizi ya fedha zinazochangwa na Watanzania walalahoi........

Jamani rudini nyumbani tuhamasishe michango maisha ya Nairobi ni ghali sana......
Una lengo gani na mgonjwa?
 
Wewe unafikirije kwanza, kwamba wanaishije na kwa gharama za nani?

Na wakiwa kwao (Lema, Arusha na Msigwa, Iringa) unadhani huwa wanaishi kwa gharama za nani mkubwa?

Unajua nini wewe? Umeujiuliza na kisha kutuuliza sisi wanajukwaa wenzako maswali ya kipuuzi, kijinga na kipumbavu sana kwa kiwango cha PhD ya Bwana Uchwara.... !!!

Ni kana kwamba hawa watu wanakoishi huko hakuna watu, yaani wako porini wanakoishi wanyama na pengine wale "watu wasiojulikana!"

Pole sana kwa jiwe hili la gizani kama limekupata..
 
Habari Wanajamvi,

Kwanza natanguliza pole na kumtakia mema Kamanda wetu Tundu Lissu. Lakini najaribu kufikiri kwanini Msigwa na Lema bado wako Nairobi?

Kwa gharama za nani? Kama za kwao kwanini wasirudi nyumbani kisha hizo fedha wachangie kwenye matibabu?

Tena lile jopo limeambatana na Wake na wenza wao, WHY?

Yawezekana na wao ni sehemu ya matumizi ya fedha zinazochangwa na Watanzania walalahoi........

Jamani rudini nyumbani tuhamasishe michango maisha ya Nairobi ni ghali sana......

Pesa ipo nyingi tu watu wanachangishwa nje na ndani ya Tanzania, kwenye baadhi ya balozi lakini pia Kenya wanafadhiriwa
 
Habari Wanajamvi,

Kwanza natanguliza pole na kumtakia mema Kamanda wetu Tundu Lissu. Lakini najaribu kufikiri kwanini Msigwa na Lema bado wako Nairobi?

Kwa gharama za nani? Kama za kwao kwanini wasirudi nyumbani kisha hizo fedha wachangie kwenye matibabu?

Tena lile jopo limeambatana na Wake na wenza wao, WHY?

Yawezekana na wao ni sehemu ya matumizi ya fedha zinazochangwa na Watanzania walalahoi........

Jamani rudini nyumbani tuhamasishe michango maisha ya Nairobi ni ghali sana......
Pumbavu nyangau kwani ni mahouse kwako hivo hawana uwezo wa kujigaramia
 
Kwa mtizamo wangu, nairobi ni kama dsm tu. Hakuna tofauti ya gharama za maisha. Hivyo naamini kama huwa wanajigharamia wwnyewe kimaisha dsm bila shaka na huko wanajigharamia pia.
 
Habari Wanajamvi,

Kwanza natanguliza pole na kumtakia mema Kamanda wetu Tundu Lissu. Lakini najaribu kufikiri kwanini Msigwa na Lema bado wako Nairobi?

Kwa gharama za nani? Kama za kwao kwanini wasirudi nyumbani kisha hizo fedha wachangie kwenye matibabu?

Tena lile jopo limeambatana na Wake na wenza wao, WHY?

Yawezekana na wao ni sehemu ya matumizi ya fedha zinazochangwa na Watanzania walalahoi........

Jamani rudini nyumbani tuhamasishe michango maisha ya Nairobi ni ghali sana......
Hivi wewe na akili zako fupi, unadhani kuishi Nairobi kuna gharama gani kubwa ya kumshinda Mbunge? Kwani wakienda Dodoma wanalipiwa na nani?
Inabidi CCM mwe mnatembea huko duniani mjionee, sio unaishi huko mikoani unakuwa na akili finyu
 
Habari Wanajamvi,

Kwanza natanguliza pole na kumtakia mema Kamanda wetu Tundu Lissu. Lakini najaribu kufikiri kwanini Msigwa na Lema bado wako Nairobi?

Kwa gharama za nani? Kama za kwao kwanini wasirudi nyumbani kisha hizo fedha wachangie kwenye matibabu?

Tena lile jopo limeambatana na Wake na wenza wao, WHY?

Yawezekana na wao ni sehemu ya matumizi ya fedha zinazochangwa na Watanzania walalahoi........

Jamani rudini nyumbani tuhamasishe michango maisha ya Nairobi ni ghali sana......

Waulize wenyewe acha umbea
 
Najua hashindwi wala sijasema anashindwa lakini juhudi na upendo wake umedhihirika katika anga la Tanzania lakini kwanini asirejee nyumbani na hizo fedha akaziwekeza katika kuokoa maisha ya Lissu? Huoni kama atakuwa amefanya kitu Positive zaidi?
Aisee wewe ni mke wa Lema au wa Msigwa ? Hebu kuwa wazi tu mkuu, haiwezekani hata mwenye mume hajataka mume wake arudi nyumbani halafu wewe unalilia wao kurudi. Mbona wanaume wako wengi tu ukitelekezwa unatafuta mwingine mkuu
 
We jamaa unaonekana una hali ngumu sana,nairobi ni sehemu ambayo Unaweza ishi na kama hapa Tz

Unadhani mtu Kama Lema na msigwa wakose hela ya matumizi binafsi wakiwa Nairobi?

Hivi wauguzaji unataka wamuache mgonjwa na Nani? Hela hizo zinaweza muuguza bila uangalizi?

Mkuu unatakA Lisu abaki hospital alone?au unataka kutuuaminisha Nini?

Kama nchi inabana matumizi sio kwa hili la afya ya Lisu
 
Back
Top Bottom