Nani anagharamia matumizi ya Lema, Msigwa na Mbowe huko Nairobi?

Kwanza mjue kuishi Kenya Nairobi ni kama dar es salaam tu,

Step one pata stamp permit in your passport, ambayo Tanzania wanapewa hasi miez mitatu free bila kulipa visa,

Step two
Hotels zipo cheap za 1500 ksh per day yaan 30,000 ya Tanzania ,

Step three

Chakula ni simple ksh 200 unapata githeri unapata lunch nzuri hivyo per day anawez tumia 1000 ya Kenya Kula, na airtime

Jumla hapo tuseme ni shi elf 2500 za Kenya sawa na 50,000 kwa siku, hiyo itamshinda mbunge??
 
Mtoa huu UZI umechangia shilling ngapi hadi hivi sasa..maana inaelekea unajua kubana matumizi na nina imani umebana matumizi yako ili kumchangia mh.lissu safi sana kwa kuwa mzalendo Mungu akubaliki sana mtoa UZI
 
hoja yako haina mantiki...
kwani wakiwa nairobi wanakula zaidi ya wanavyokula wakiwa manyumbani mwao?
kwani wakiwa nyumbani wanalishwa bure?
nairobi maisha sio ghali ukilinganisha hata na arusha... na kama ni ela wanazo na wanauwezo hata wakukaa mwaka mzima huko...
 
Habari Wanajamvi,

Kwanza natanguliza pole na kumtakia mema Kamanda wetu Tundu Lissu. Lakini najaribu kufikiri kwanini Msigwa na Lema bado wako Nairobi?

Kwa gharama za nani? Kama za kwao kwanini wasirudi nyumbani kisha hizo fedha wachangie kwenye matibabu?

Tena lile jopo limeambatana na Wake na wenza wao, WHY?

Yawezekana na wao ni sehemu ya matumizi ya fedha zinazochangwa na Watanzania walalahoi........

Jamani rudini nyumbani tuhamasishe michango maisha ya Nairobi ni ghali sana......

Wewe mbona hurudi kijijini kwenu kipumbwe
 
Unajua mbunge analipwa shngap kwa mwezi
Malupulupu ya bungeni unayajua ww
Unajua wana miladi mingapi hapa tz
Unaujua ukoo wa lema ww
Hv unajua msigwa nmchungaji kabsa
Hv ww una akili timamu kweli
 
Unajua mbunge analipwa shngap kwa mwezi
Malupulupu ya bungeni unayajua ww
Unajua wana miladi mingapi hapa tz
Unaujua ukoo wa lema ww
Hv unajua msigwa nmchungaji kabsa
Hv ww una akili timamu kweli
Hizo nguvu zote wangezielekeza kuchangia gharama za matibabu sio kukaa huko na kuzulura kwenye vituo vya TV mpaka wanaongea Kiingereza kibovu....
 
Habari Wanajamvi,

Kwanza natanguliza pole na kumtakia mema Kamanda wetu Tundu Lissu. Lakini najaribu kufikiri kwanini Msigwa na Lema bado wako Nairobi?

Kwa gharama za nani? Kama za kwao kwanini wasirudi nyumbani kisha hizo fedha wachangie kwenye matibabu?

Tena lile jopo limeambatana na Wake na wenza wao, WHY?

Yawezekana na wao ni sehemu ya matumizi ya fedha zinazochangwa na Watanzania walalahoi........

Jamani rudini nyumbani tuhamasishe michango maisha ya Nairobi ni ghali sana......
Hivi nani anagaramia garama za basht kwa mambo anayofanya Mfano kutengeneza Magari ya polis

Ova
 
Habari Wanajamvi,

Kwanza natanguliza pole na kumtakia mema Kamanda wetu Tundu Lissu. Lakini najaribu kufikiri kwanini Msigwa na Lema bado wako Nairobi?

Kwa gharama za nani? Kama za kwao kwanini wasirudi nyumbani kisha hizo fedha wachangie kwenye matibabu?

Tena lile jopo limeambatana na Wake na wenza wao, WHY?

Yawezekana na wao ni sehemu ya matumizi ya fedha zinazochangwa na Watanzania walalahoi........

Jamani rudini nyumbani tuhamasishe michango maisha ya Nairobi ni ghali sana......
ubadhilifu wa pesa ya walalahoi
 
Utakuta kama huyu hajatoa hata shilingi 10 anasema hela tulizochanga.
 
Habari Wanajamvi,

Kwanza natanguliza pole na kumtakia mema Kamanda wetu Tundu Lissu. Lakini najaribu kufikiri kwanini Msigwa na Lema bado wako Nairobi?

Kwa gharama za nani? Kama za kwao kwanini wasirudi nyumbani kisha hizo fedha wachangie kwenye matibabu?

Tena lile jopo limeambatana na Wake na wenza wao, WHY?

Yawezekana na wao ni sehemu ya matumizi ya fedha zinazochangwa na Watanzania walalahoi........

Jamani rudini nyumbani tuhamasishe michango maisha ya Nairobi ni ghali sana......
Acha maswali ya kikuda

Umetumwa
 
Back
Top Bottom