Nani anagharamia matumizi ya Lema, Msigwa na Mbowe huko Nairobi?

Hata mimi naweza kuishi na kumuangalia mgonjwa Nairobi kwa gharama zangu za hela ya mama ntilie mbunge atashindwaje?. Gharama kubwa za matumizi ni MTU mwenyewe anavyopenda mahali pa bei ya juu ya malazi na chakula.
 
Yawezekana na wao ni sehemu ya matumizi ya fedha zinazochangwa na Watanzania walalahoi........

Jamani rudini nyumbani tuhamasishe michango maisha ya Nairobi ni ghali sana......
Fanya utoe mchango wako tu boss! Mengine hayakuhusu...
 
Unawashangaa Lema na Msigwa? Mbona miye niko huku Kirinyaga tangu siku TLS aletwe? Naishi kwa gharama zangu MWENYEWE! NAISHI Citywall Hotel..
 
Hizo hela mngeziongeza kwenye kulipia matibabu maana kila siku kuna sikika sauti za kuhamasisha michango wakati kuna watu wamekaa tu huko
 
Sioni mantiki ya swali lako mkuu? Kukaa jirani na mgonjwa kwanza kunampa faraja na kumfanya apate nafuu kwa haraka.. isitoshe sababu za kiusalama ukizingatia na tukio lenyewe, na pia gharama sio kitu kwenye uhai wa mtu...waza mbali zaidi
 
Kinana alipokuwa ameenda India Nani alighalimia?
Bashite alipoenda marekani Nani alighalimia?

Wana jf tuepukeni maswali haya ya kitoto
Unataka watoke wewe ukafanye nini

Mkuu pambana na Hali yako
 
Habari Wanajamvi,

Kwanza natanguliza pole na kumtakia mema Kamanda wetu Tundu Lissu. Lakini najaribu kufikiri kwanini Msigwa na Lema bado wako Nairobi?

Kwa gharama za nani? Kama za kwao kwanini wasirudi nyumbani kisha hizo fedha wachangie kwenye matibabu?

Tena lile jopo limeambatana na Wake na wenza wao, WHY?

Yawezekana na wao ni sehemu ya matumizi ya fedha zinazochangwa na Watanzania walalahoi........

Jamani rudini nyumbani tuhamasishe michango maisha ya Nairobi ni ghali sana......
Wabaki huko hadi Mhe. Tundu Lissu arudi. Hilo sio jukumu la mtoa hoja ni suala la CHADEMA. Makosa hayafanywi mara mbili. Hao uliowataja ni wapiganaji wa kweli. Mhe. Lema, Msingwa na wengine mnaotetea uhai wa Kamanda wa ukweli, fanya kazi moja ya kuimarisha usalama wa Mhe. Tundu Lissu, haya mengine tuachie.
 
Habari Wanajamvi,

Kwanza natanguliza pole na kumtakia mema Kamanda wetu Tundu Lissu. Lakini najaribu kufikiri kwanini Msigwa na Lema bado wako Nairobi?

Kwa gharama za nani? Kama za kwao kwanini wasirudi nyumbani kisha hizo fedha wachangie kwenye matibabu?

Tena lile jopo limeambatana na Wake na wenza wao, WHY?

Yawezekana na wao ni sehemu ya matumizi ya fedha zinazochangwa na Watanzania walalahoi........

Jamani rudini nyumbani tuhamasishe michango maisha ya Nairobi ni ghali sana......
Eeeh ata wakitumia si sawa tu siwapo na mgonjwa,..tumechanga ili lissu awe oky sisi hatujali ata wakiwa 20 uko tutachanga, cha msingi TL arudi akiwa salama thus all
 
Lissu anapitia kipindi kigumu sana katika maisha yake?so anahitaji sana faraja. Wale ni wenzake wa karibu wapambanaji wenzake wamepitia mengi pamoja,na kikubwa huwa anasimama nao sana vipindi vya makesi yao mahakamani na ktk issue nyingine, so iweje wao wamuache mwenyewe kisa kuogopa gharama? anafarijika akiona wapo pamoja nae ktk shida na raha.
 
Habari Wanajamvi,

Kwanza natanguliza pole na kumtakia mema Kamanda wetu Tundu Lissu. Lakini najaribu kufikiri kwanini Msigwa na Lema bado wako Nairobi?

Kwa gharama za nani? Kama za kwao kwanini wasirudi nyumbani kisha hizo fedha wachangie kwenye matibabu?

Tena lile jopo limeambatana na Wake na wenza wao, WHY?

Yawezekana na wao ni sehemu ya matumizi ya fedha zinazochangwa na Watanzania walalahoi........

Jamani rudini nyumbani tuhamasishe michango maisha ya Nairobi ni ghali sana......
Umechanga? Kama Umechanga ulilazimishwa?

Upuuzi wa lumumba huu
 
Asa we inakuhusu nini...hela zao afu unawapangia matumizi si itafute zako blaza...huo ndo wivu wa kijinga kama kuona kuku wanapandana unachukua jiwe unawapiga.
 
Back
Top Bottom